Labda nikupe mfano rahisi Sana, hizi V8 zenye usajili wa STs , SU, PT ata JW mara zote unapoziona mtaani au highways..unadhani muda wote zinakua kwenye official business?..jibu ni hapana, kile ni chombo cha serikali au umma na aliyekabidhiwa kukutumia ndio anaweza akakitumia vizuri na Kwa maslahi ya umma au akatumia Kwa maslahi/matumizi binafsi.
CCM ndio walishinda uchaguzi uliopita na wakakabidhiwa kuongoza hili lichombo likubwa linaitwa Dola..SASA inategemea na ni Nani Yuko sekta ipi na Kwa malengo yapi but all in all maslahi ya chama yanalindwa bigtime