matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #41
nimeelewaLabda nikupe mfano rahisi Sana, hizi V8 zenye usajili wa STs , SU, PT ata JW mara zote unapoziona mtaani au highways..unadhani muda wote zinakua kwenye official business?..jibu ni hapana, kile ni chombo cha serikali au umma na aliyekabidhiwa kukutumia ndio anaweza akakitumia vizuri na Kwa maslahi ya umma au akatumia Kwa maslahi/matumizi binafsi.
CCM ndio walishinda uchaguzi uliopita na wakakabidhiwa kuongoza hili lichombo likubwa linaitwa Dola..SASA inategemea na ni Nani Yuko sekta ipi na Kwa malengo yapi but all in all maslahi ya chama yanalindwa bigtime
Kwenye mgombea mwenza haitaezekana na sababu ni Nyarandu hatokei is upande wa pili wa Muungano.Nyalandu anafaa kuwa mgombea mwenza wa Lissusbab
Hakuna sehemu kwenye katiba pameandikwa mgombea mwenza lazima atoke upande wa piliKwenye mgombea mwenza haitaezekana na sababu ni Nyarandu hatokei is upande wa pili wa Muungano.
Sidhani kama Fatma Karume yupo Chadema ila kama ikitokea ana kadi ya chadema ningependa ndo awe mgombea binafsi.
Nyarandu still ataitajika kwenye cabinet na nafasi yake itakuwepo tu!
Mbona CCM/serikali wamejazana kabila moja kwenye sehemu nyetimkuu wote kabila moja huoni kama watakuwa kivutio cha kupakaziwa ukabila?
Lissu amezoea vya kuchinja akipigwa chini si dili kubwa lakini bwana yule amezoea vya kunyonga na fomu ilichapishwa moja tu.
Tatizo lenu mnafanyia uchaguzi kwenye mtandao, na porojo zenu zipo kwenye mtandao, ukija kweney uhalisia wa kitaa hamna jipya kabsa. Raia wao ni magu, na magu na raia. Wengine porojo, hapo ifikapo 27/10/2020 kweli mtaamin wajumbe si watuHali ni tete kwa CCM mwaka huu. Wenye akili tumeliona hili na tumejua huu ndo wakati sahihi wa kuwatoa madarakani
Hata maandamo ya Lissu mlisema ya mtandaoni ila ukweli mliuona tarehe 27/07/2020 mitaa ya Dar ilivyozizima na Lissu.Tatizo lenu mnafanyia uchaguzi kwenye mtandao, na porojo zenu zipo kwenye mtandao, ukija kweney uhalisia wa kitaa hamna jipya kabsa. Raia wao ni magu, na magu na raia. Wengine porojo, hapo ifikapo 27/10/2020 kweli mtaamin wajumbe si watu
Ooooh! malaika TunduLissu ana hoja nzito sana ndugu. Subiri tu uone Magufuli atakavyotoka nduki kwenye kampeni. Lissu sio kiumbe wa kawaida ndugu. You will see