Pre GE2025 Lissu: Waliopinga maridhiano toka mwanzo wote wameshughulikiwa, sasa nami nashughulikiwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli CDM waleliwa kichwa na Kizmkaz live kabisa jeuri yao imeishia kwenye rupiah
 
Vitu vyote ulivyoandika unahisi wakati aliyeko ndani anakwambia mambo yalivyo wewe bado unaleta hisia zako na kutaka tuziaminj,wewe ni mjinga sana
 
Huyo anaropokaropoka tu tunamsubiri kwenye kura !
Usimpe kura yako boss, ikibidi hakikisha unashawishi na wajumbe wengine wasimpigie kura,. Lakini ukweli usiocha shaka ni kuwa zama za Mbowe zimesha, hata akishinda uchaguzi hatakuwaa na uwezo wa kutushawishi wengi wetu.
 
Usimpe kura yako boss, ikibidi hakikisha unashawishi na wajumbe wengine wasimpigie kura,. Lakini ukweli usiocha shaka ni kuwa zama za Mbowe zimesha, hata akishinda uchaguzi hatakuwaa na uwezo wa kutushawishi wengi wetu.
Mbowe alishauriwa vibaya kung'ang'ania uenyekiti.
 
Maridhiano feki ni hati ya kuhalalisha Chadema kuwa tawi la Mbogamboga PP.
 
Sasa mpaka Mbowe anampa Samia tuzo ya Maridhiano huoni kuwa Mbowe alitumika kumsafisha Samia mbele ya umma na Jumuia ya kimataifa?-Chama kilinufaikaje na Mbowe kumpa Samia tuzo ya maridhiano ambayo kama kawaida yao CCM waliyaruka baadae?
Niliwahi kuhoji kuhusu hayo maridhiano, na hizo tuzo ni za nini. Kumbe Mbowe ndio alikuwa ana maslahi binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…