WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Aliona kauli za maridhiano zipo tu kwa ajili ya Mbowe na Samiah.Msigwa yuko wapi sasa baada ya kupinga maridhiano? Kwa hio Msigwa alikimbilia kule abako wanapinga kufanya maridhiani na CDM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliona kauli za maridhiano zipo tu kwa ajili ya Mbowe na Samiah.Msigwa yuko wapi sasa baada ya kupinga maridhiano? Kwa hio Msigwa alikimbilia kule abako wanapinga kufanya maridhiani na CDM?
Mwingine huyu anaingia kwenye ignore list. Kwaheri.Vitu vyote ulivyoandika unahisi wakati aliyeko ndani anakwambia mambo yalivyo wewe bado unaleta hisia zako na kutaka tuziaminj,wewe ni mjinga sana
Hakuwahi kusema hayo, kwa hiyo ni mnafiki tu kama walivyo wengine. Sijui kama nitamuamini tena.Wakuu,
Lissu amesema akiwa Ubelgiji hawa ni watu wa kwanza kabisa kuonesha uongo wa maridhiano na waliupinga kwa nguvu zote, nao ni Msigwa, Wenje, Lema, na Gaston.
Kipinga kwao maridhiano hayo kumefanya wote wameshughulikiwa, Wenje amepiga uturn kubwa baada ya kuona wenzake wanashughulikiwa, Msigwa kaondoka na wengine wameacha kugombea.
Sasa nami nimeanza kushughulikiwa kwakuwa nilipinga maridhiano haya baada ya kuona tunadanganywa na nikatoka hadharani kusema maridhiano hayo hayapo.
=====
"Waliopinga huu uongo wa maridhiano kwenye kamati kuu ni Peter Msigwa, John Heche, Godbless Lema, Gaston Garubindi, Ezekia Wenje kabla hajapiga U-Turn baada yakuona wenzake wanashughulikiwa, hao ndo walikua mashujaa waku expose huu uongo wa maridhiano, mimi nilikuja mwishoni.! John Heche alikua mjumbe wa kamati ya maridhiano and he always came out and said Hapana, alinuniwa sana! Godbless Lema akiwa uhamishoni Canada alikataa." Mhe Tundu Lissu akiweka wazi watu waliopinga uongo wa maridhiano kwanzia Mwanzo!
Inatia raha sehemu gani ya mwili wako comred?Makamanda wamevurugwa kabisa hadi inatia raha[emoji16][emoji41]
Kwenye ukuni, kamandà😁Inatia raha sehemu gani ya mwili wako comred?