Pre GE2025 Lissu wataje waliokuja kwako kukuhonga kabla haujachelewa

Pre GE2025 Lissu wataje waliokuja kwako kukuhonga kabla haujachelewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa kuna watu wanakufuatilia. Siku kama ya jana ukashambuliwa kwa risasi.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

Sasa unadai kuna watu walikuja kwako wakiwa na Abdul ili wakuhonge. Ushauri wangu kwako ni kwamba wataje watu hao KABLA haujachelewa.

Jua ndiyo hili, ukichelewa utautwanga mbichi.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
 
Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa Kuna watu wanakufuatilia.Siku kama ya jana ukashambuliwa Kwa risasi.

Sasa unadai Kuna watu walikuja kwako wakiwa na Abdul ili wakuhonge. Ushauri wangu kwako ni kwamba wataje watu hao KABLA haujachelewa.

Jua ndiyo hili, ukichelewa utautwanga mbichi.
Yani hapo ndio nilipo mshangaa unakuwa mstaarabu kwa watu wanaotaka kukuua??
 
Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa Kuna watu wanakufuatilia.Siku kama ya jana ukashambuliwa Kwa risasi.

Sasa unadai Kuna watu walikuja kwako wakiwa na Abdul ili wakuhonge. Ushauri wangu kwako ni kwamba wataje watu hao KABLA haujachelewa.

Jua ndiyo hili, ukichelewa utautwanga mbichi.
Nadhani Lissu ame- strategies hili jambo kwa kusubiri ashtakiwe ili apate idhini ya kisheria kuwataja wote mahakamani.
 
Kabisa... Anaweza kudhani ni "bargaining chip" lakini kumbe ni "liability" kuendelea kubaki nayo.
Lakini alisema walimwambia wenyewe kwamba fulani na fulani wamechukua, sasa najiuliza walipata wapi ujasiri wa kutaka kumhonga kama sio tayari kuna viongozi wakubwa walisha hongeka?
 
Huna macho? 😃😃
Kuwa na macho na kuona ni mambo mawili tofauti.

Halafu mbona mitizamo hujengwa kutokana na tafsiri binafsi.

Kwangu mimi hakupata mtihani bali dhoruba na akanusurika. Huu Sasa ndiyo mtihani. ATAJE AMA ASITAJE...
 
Back
Top Bottom