Pre GE2025 Lissu wataje waliokuja kwako kukuhonga kabla haujachelewa

Pre GE2025 Lissu wataje waliokuja kwako kukuhonga kabla haujachelewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa kuna watu wanakufuatilia. Siku kama ya jana ukashambuliwa kwa risasi.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

Sasa unadai kuna watu walikuja kwako wakiwa na Abdul ili wakuhonge. Ushauri wangu kwako ni kwamba wataje watu hao KABLA haujachelewa.

Jua ndiyo hili, ukichelewa utautwanga mbichi.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Umesema vyema
 
20240908_151114.jpg
 
Alimtaja Abdul
Kama amemtaja Abdul, unafikiria metumwana na Nani? Abdul ni nani kwenye serikali? Pesa atatoa wapi kumhonga Lissu kama 5 to 10 bilioni hivi na viongozi wakuu wa Chadema? anapata pesa kutoka ikulu.
 
Back
Top Bottom