Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yani hapo ndio nilipo mshangaa unakuwa mstaarabu kwa watu wanaotaka kukuua??Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa Kuna watu wanakufuatilia.Siku kama ya jana ukashambuliwa Kwa risasi.
Sasa unadai Kuna watu walikuja kwako wakiwa na Abdul ili wakuhonge. Ushauri wangu kwako ni kwamba wataje watu hao KABLA haujachelewa.
Jua ndiyo hili, ukichelewa utautwanga mbichi.
Waanzilishi wenyewe mmetulia zenu Ursino Street.Kila Mtu anaogopa
Hatari na nusu πΌ
Siyo ustaarabu bali alishavuka huo mtihani hana Hofu tenaYani hapo ndio nilipo mshangaa unakuwa mstaarabu kwa watu wanaotaka kukuua??
Nadhani Lissu ame- strategies hili jambo kwa kusubiri ashtakiwe ili apate idhini ya kisheria kuwataja wote mahakamani.Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa Kuna watu wanakufuatilia.Siku kama ya jana ukashambuliwa Kwa risasi.
Sasa unadai Kuna watu walikuja kwako wakiwa na Abdul ili wakuhonge. Ushauri wangu kwako ni kwamba wataje watu hao KABLA haujachelewa.
Jua ndiyo hili, ukichelewa utautwanga mbichi.
Ujinga... Asiposhitakiwa?Nadhani Lissu ame- strategies hili jambo kwa kusubiri ashtakiwe ili apate idhini ya kisheria kuwataja wote mahakamani.
yy hana hofu, je wenzake anaowaongoza chamani? Ona underling wa Mnyika kilichomtokea.Siyo ustaarabu bali alishavuka huo mtihani hana Hofu tena
Inabaki kuwa ukweli kuwa Abdul alitaka kumuhonga!Ujinga... Asiposhitakiwa?
Nyumba isipolindwa na Mungu wa mbinguni Walindao Wakesha Bure πΌyy hana hofu, je wenzake anaowaongoza chamani? Ona underling wa Mnyika kilichomtokea.
BasiUjinga... Asiposhitakiwa?
Ameuvuka mtihani kwa kufaulu ama kafeli?Siyo ustaarabu bali alishavuka huo mtihani hana Hofu tena
Lissu hawezi kuogopa watu wa chama chake, lazima anaogopa watu wasiojulikana.Awataje wote walio chukua hizo pesa bila kujali ni watu wenye nafasi gani katika chama chake.
Hiyo list akizidi kukaa nayo atatupa mashaka sisi wafuasi wake, aweke mambo wazi bila kuogopa chochote.Lissu hawezi kuogopa watu wa chama chake, lazima anaogopa watu wasiojulikana.
Kabisa... Anaweza kudhani ni "bargaining chip" lakini kumbe ni "liability" kuendelea kubaki nayo.Hiyo list akizidi kukaa nayo atatupa mashaka sisi wafuasi wake, aweke mambo wazi bila kuogopa chochote.
Huna macho? ππAmeuvuka mtihani kwa kufaulu ama kafeli?
Lakini alisema walimwambia wenyewe kwamba fulani na fulani wamechukua, sasa najiuliza walipata wapi ujasiri wa kutaka kumhonga kama sio tayari kuna viongozi wakubwa walisha hongeka?Kabisa... Anaweza kudhani ni "bargaining chip" lakini kumbe ni "liability" kuendelea kubaki nayo.
Kuwa na macho na kuona ni mambo mawili tofauti.Huna macho? ππ