Mlelewa Ubelgiji
Tupia na Ile picha ya kamanda Lisu aliposhambuliwa na police Nyamongo na kuchaniwa gwanda.Hapa ni wale waoga wenye kutaka kutujengea hofu kwa niaba ya CCM:
View attachment 2800007
Washindwe na walegee.
Cc: imhotep, Elli, Rabbon na timu nzima ya wapambanaji.
Tupia na Ile picha ya kamanda Lisu aliposhambuliwa na police Nyamongo na kuchaniwa gwanda.
Kama Bado mtu hujajikana, Si Rahisi kuongoza wengine kupambania HAKI za wasio na sauti.
Mungu Yu pamoja nasi. Amen
Mungu hupenda kuvitumia vinyonge Ili kujitwalia utukufu.Tatizo ni kuwa kuna wenye kutumika picha hizo kutia watu hofu.
Si unaona lengo la mwandishi wa hiyo picha hapo?
Wapambanaji wanahitaji hamasa si vitisho.
"Hapo ndipo kishindo cha wakoma kilivyo watimua washami."
Ukweli ndiyo huoNi maneno ya hekima na busara sana kutoka kwake Tundu Antipas Lissu:
View attachment 2799876
"Kwamba watanzania si waoga bali hao wenye kuyasema hayo, ndiyo pekee walio waoga."
Kwamba watanzania wanahitaji kuhamasishwa na kuongozwa na watu wanaowaamini.
Kumbe ni wapi ambako wananchi huko, kuhamasishwa, au kuongozwa na wenye kuwaamini si muhimu? Ni Kenya, Afrika Kusini, Gambia au Guinea?
"Binadamu ni wale wale."
Maneno kuntu kabisa haya kutoka kwake mwana huyu, mzalendo halisi wa nchi hii.
"Mtanzania siyo mwoga."
Mwenye nchi, mwananchi.
Aluta continua!
Mungu hupenda kuvitumia vinyonge Ili kujitwalia utukufu.
CHADEMA ikikubali kuingia uchaguzi bila Tume huru na Katiba mpya ni wasaliti.
Lisu ajiondoe ikibidi aungane na sauti ya Watanzania.
Together we can💪
Huna hoja.Mlelewa Ubelgiji
Huna hoja.