Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hii ndio point aliyofikia Liisu na Heche na pia anafanya jitihada kuwaandaa kisaikolojia wanachama na wafuasi wa CHADEMA nchi nzima juu ya hatari inayowakabili katkika kufanikisha agenda ya "no reforms, no election."
Liissu anafahama kabisa ili kuiondoa CCM madarakani, ni lazima wawe tayari kuvunja baadhi ya sheria zilizopo na ndio maana anatoa mfano wa Mandela kukaa gerezeni miaka 27.
Lissu anajua na yuko tayari kuuwawa au kuumizwa na ndio maana kaweleza wafuasi na wanachama wa CHADEMA kuwa tayari kuumizwa na hata kuwawa na amweka wazi kama ni kufa, yeye teyari alishachungulia huko na akahoji nani ataishi milele(fuatilia hotuba zake).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hatu hii aliyoifikia Liisu na makamu wake, John Heche, ni hatua ya mwisho katika uvumilivu wa mwanadamu na ni swala la muda tu kabla hali hii kuwakumbuka watanzania wengi na wale vijana wasio na ajira na waliounda chama chao ni kiashiria tosha cha wapi tunaelekea kama Taifa.
Nyongeza
Msifikiri hata wale vijana hawakujua hatari ya kuanzisha chombo au kikundi ambacho hakijasajiliwa na kuanzisha harakati walizokuwa wamezianza, na zaidi watawala wajiandae kwa vikundi vingine vya aina hiyo siku za mbeleni.
NB:Serikali ya CCM kujadiliana na watu waliokuwa wanaongoza kikundi ambacho hakijasajiliwa, sio kama walikuwa wanapenda au walishindwa kuagiza vyombo vya dola viwashughulike, bali walifakari kwa kina hatari ya maamuzi kama yale hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi.
Siku za CCM kubaki madarakani zinan'ginia kwenye uzi mwembamba sana.