PreGE2025 Lissu yuko tayari kuumizwa na hata kufungwa jela kama Mandela na wapigania uhuru wengine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Hii ndio point aliyofikia Liisu na Heche na pia anafanya jitihada kuwaandaa kisaikolojia wanachama na wafuasi wa CHADEMA nchi nzima juu ya hatari inayowakabili katkika kufanikisha agenda ya "no reforms, no election."

Liissu anafahama kabisa ili kuiondoa CCM madarakani, ni lazima wawe tayari kuvunja baadhi ya sheria zilizopo na ndio maana anatoa mfano wa Mandela kukaa gerezeni miaka 27.

Lissu anajua na yuko tayari kuuwawa au kuumizwa na ndio maana kaweleza wafuasi na wanachama wa CHADEMA kuwa tayari kuumizwa na hata kuwawa na amweka wazi kama ni kufa, yeye teyari alishachungulia huko na akahoji nani ataishi milele(fuatilia hotuba zake).

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hatu hii aliyoifikia Liisu na makamu wake, John Heche, ni hatua ya mwisho katika uvumilivu wa mwanadamu na ni swala la muda tu kabla hali hii kuwakumbuka watanzania wengi na wale vijana wasio na ajira na waliounda chama chao ni kiashiria tosha cha wapi tunaelekea kama Taifa.

Nyongeza

Msifikiri hata wale vijana hawakujua hatari ya kuanzisha chombo au kikundi ambacho hakijasajiliwa na kuanzisha harakati walizokuwa wamezianza, na zaidi watawala wajiandae kwa vikundi vingine vya aina hiyo siku za mbeleni.

NB:Serikali ya CCM kujadiliana na watu waliokuwa wanaongoza kikundi ambacho hakijasajiliwa, sio kama walikuwa wanapenda au walishindwa kuagiza vyombo vya dola viwashughulike, bali walifakari kwa kina hatari ya maamuzi kama yale hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi.

Siku za CCM kubaki madarakani zinan'ginia kwenye uzi mwembamba sana.
 
nadhani,
ikimpendeza ajinyonge tu kimya kimya na atakua kafanikiwa katika azma yake ya kufa hakuna haja ya mayowe🐒
 
nadhani,
ikimpendeza ajinyonge tu kimya kimya na atakua kafanikiwa katika azma yake ya kufa hakuna haja ya mayowe🐒
Liisu, Heche na Lema na makamana wengine, kitachowazuia kuongoza watanzania katika kusimamia agenda ya NO REFORMS, NO ELECTION, ni labda wawe jela, wagonjwa au wamekufa/wameuwawa.
Time will tell.
Mtamkumbuka sana Mbowe.
 
Gentleman,
ikiwa miongni mwao yupo anaetamani kufa, nadhani njia rahisi zaidi ni kujinyonga tu, kisha Azikiwe na tumsahau na maisha mengine yaendelee kwa walio hai,

mayowe ni useless gentleman politically speaking 🐒
 
Wewe utakuwa msukule siyo binadamu wa kawaida kabisa. Unatembea huku ushajifia kitambo. No wonder hata marinda yameishafumuliwa kisawa sawa kwa ujira wa buku 7 tu, idiot!
 
Liisu, Heche na Lema na makamana wengine, kitachowazuia kuongoza watanzania katika kusimamia agenda ya NO REFORMS, NO ELECTION, ni labda wawe jela, wagonjwa au wamekufa/wameuwawa.
Time will tell.
Mtamkumbuka sana Mbowe.
hata wakiwa jela, moto wanaouanzisha ni ngumu sana kuuzima!
 
Hata Rais wa Zambia alifungwa lakini akatoka na sasa Zambia inapaa kiuchumi
 
Pole sana kwa ufinyu wa Maarifa... Chama cha Mapinduzi CCM ni chama kinachojiimarisha kila leo Kuanzia Chipukizi, Jumuiya ya Vijana n.k wakati huo ninyi mmekaa na kuleta lawama hata kwa yale ambayo yamefanyika na yanaonekana chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Sulluhu Hassan 2020/2025.
 
Attachments

  • ATMS.png
    330.5 KB · Views: 38
  • BB.png
    404.4 KB · Views: 37
  • kinara-wa-Amani.png
    437.5 KB · Views: 37
  • MAPATO-YA-KOROSHO-09072024.png
    434.5 KB · Views: 29
  • MATUMIZI-YA-TPA-YASHUKA.png
    409.7 KB · Views: 39
  • REKODI-MPYA-TRA.png
    415 KB · Views: 40
  • VIWANA-ELFU-30.png
    361.8 KB · Views: 36
  • WACHIMBAJI.png
    410.2 KB · Views: 41
UHARO wa Chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…