Lissu yuko vema

Umeandika uharo tupu. Kwani dikteta asha wahi kkiongoza chama kile..?
Watu wanafiki pekee ndio wanaomtetea mbowe kwa maana wana nufaika nayeye. Kuna kosa gani kafanya lissu..? Upumbavu ni kitu kibaya sana kheri ungekua mjinga mara 1000
 
Kama unajua ni mali ya umma kwanini nyie viberenge vya Lissu hamtaki kusubiri maamuzi ya kura yafanye maamuzi na badala yake kutwa mnalazimisha Mbowe asigombee?
Asigombee coz kapitiliza muda wa kukaa madarakani ambayo ni miaka 10
 
Ye
Yeye anataka uenyekiti alufu tushinde barabarani tuandamane ataandamana peke yake.
 
Asigombee coz kapitiliza muda wa kukaa madarakani ambayo ni miaka 10

Acha kujidhalilisha wewe kiberenge. Ni kifungu gani kwenye katiba ya CHADEMA kinasema kuna kikomo cha mtu kugombea uongozi ndani ya chama? Kama hujui kitu usipende kufuata mkumbo kama nyumbu.
 
Acha kujidhalilisha wewe kiberenge. Ni kifungu gani kwenye katiba ya CHADEMA kinasema kuna kikomo cha mtu kugombea uongozi ndani ya chama? Kama hujui kitu usipende kufuata mkumbo kama nyumbu.
Si alikinyofoa babu Yako ili aendelee kungangania huyo mlafi wa madaraka, kwani hujui kuwa watangulizi wake waliweka kikomo cha madaraka then babu Yako akakinyofoa? Sasa Kwa taarifa Yako hatumzuii kugombea ila kiufupi hatamshinda lissu sababu sera za lissu ziko very clear, lissu katuahidi kuwa ruzuku zitasambaa Hadi huku wiliyani wanachadema wote tufaidike sio viongoz wachache tu wa juu, pili bila kupepesa macho kaahidi kipengele cha ukomo wa madaraka atakirudisha, sasa nambie ni mwanachadema gani mwenye akili timamu atashindwa kumpa Kura lissu then aharibu kura yake Kwa tapeli la siasa mbowe?
 
Ni hivi, zama za Mbowe zimepita, uimara wa cdm ulikuwa kupitia sisi wafuasi wake na sio Mbowe kufia madarakani. Ifahamike Mbowe ameamua kushindana na wakati, na mabadiliko ndani ya cdm ni lazima. Nyio msiotaka mabadiliko mtabadilishwa kwa lazima na wakati.
 
Kitu nilichojifunza, hawa vijana wadogo ndio wenye mihemko sanaa na LISU, watu wazima tuliishamuona Lisu ana mihemko, hana staha , hawezi kutunza siri, siyo mvumilivu. Kiongozi huwezi kuwa na mihemko kama mtoto aliyeokota pesa.
Nampenda kama yeye lakini siyo kuwa Mwenyekiti wa Chadema, bora aende kule TLS akasaidiane na Mwabukusi kwenye Samia legal Aid.
 
Are u a gay?
 
Lucy Owenya ndiye Mwenye Fedha kuliko mwanachama yoyote wa Chadema

Utajiri wa Mbowe ni Sawa na Sugu tu tofauti mmoja anauza Maua mwingine anauza maparachichi
binti wa Ndesa Pesa !
hivi huyu dada Yuko pande zipi Lucy🥰
 
Umeandika uharo tupu. Kwani dikteta asha wahi kkiongoza chama kile..?
Watu wanafiki pekee ndio wanaomtetea mbowe kwa maana wana nufaika nayeye. Kuna kosa gani kafanya lissu..? Upumbavu ni kitu kibaya sana kheri ungekua mjinga mara 1000

Alianza na Mkapa, Kikwete, Shujaa Magufuli hadi sasa Dr Samia

Lakini Chadema hawana hata kilabu Cha Mbege

Uwekezaji sifuri 😂
We mzee wa kimpumu cha mtama, Mbege nenda rombo,
 
Mbowe alijiona yupo safe sana haguswi pale juu kwenye kiti kikuu., akawa anawatuma kina Wenje na Sugu wamshughulikie Lissu kwa kukataa asali. Lissu hakuhangaika na kina Wenje akaamua kumfuata Mbowe mwenyewe anayewatuma. Mpaka sasa meza imepinduka hawaamini nguvu ya Lissu.
 
Ubaya ubwela
 
Iwapo CCM itagundua msigwa wanagawana documents za vikao nje ya ofisi za chama na TAL, ni dhahiri kuwa CCM itamtema Msigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…