BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Umeandika uharo tupu. Kwani dikteta asha wahi kkiongoza chama kile..?TAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti.
Na ndio maana unakuta TAL kama anakitu kinafukuta moyoni. Kama ni kuleta mabadiliko atayaleta hata akiwa mjumbe au mwanachama wa kawaida.
Pia mabadiliko kwenye chama hayaletwi na mtu mmoja, bali kwa kushirikiana na wenzako kwa pamoja, ambao kwa sasa anawananga. Huyu pimbi labda kama ataleta mabadiliko kwa kufanya udikteta kwenye chama. Jicho la 3 linaonyesha push ya kuutaka uwenyekiti haina nia ya kukijenga chama. Nasemaje huyu hawezi pewa chama yaani hata iweje (inyeshe mvua, liwake jua hata kama ni ukame kabisa), kupewa chama Big No. Awafuate akina Msigwa rafiki zake. Mzee mwenzangu johnthebaptist unaniyelewa lakini!
hahahaaa
ni ubaya ubwela
Watu wanafiki pekee ndio wanaomtetea mbowe kwa maana wana nufaika nayeye. Kuna kosa gani kafanya lissu..? Upumbavu ni kitu kibaya sana kheri ungekua mjinga mara 1000