Lissu yuko vema

Lissu yuko vema

mkuuwakaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
1,063
Reaction score
1,456
TAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti.

Na ndio maana unakuta TAL kama anakitu kinafukuta moyoni. Kama ni kuleta mabadiliko atayaleta hata akiwa mjumbe au mwanachama wa kawaida.
Pia mabadiliko kwenye chama hayaletwi na mtu mmoja, bali kwa kushirikiana na wenzako kwa pamoja, ambao kwa sasa anawananga. Huyu pimbi labda kama ataleta mabadiliko kwa kufanya udikteta kwenye chama. Jicho la 3 linaonyesha push ya kuutaka uwenyekiti haina nia ya kukijenga chama. Nasemaje huyu hawezi pewa chama yaani hata iweje (inyeshe mvua, liwake jua hata kama ni ukame kabisa), kupewa chama Big No. Awafuate akina Msigwa rafiki zake. Mzee mwenzangu johnthebaptist unaniyelewa lakini!
hahahaaa

ni ubaya ubwela
 
Mbowe must go
 
Back
Top Bottom