Kenya 2022 Lissu yupo kimya dhuluma Uchaguzi Kenya

Kenya 2022 Lissu yupo kimya dhuluma Uchaguzi Kenya

Kenya 2022 General Election

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Nilitegemea Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani.

Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
 
Au anaogopa kuwaudhi wafadhili a.k.a sponyo
 
Nilitegemea Mheshimiwa Dr. Lisu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani. Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Badala ya kumuwaza Baba yako ambaye hana kitu, Amezeeka na kuchakaa na unaogopa kuongozana nae kisa mchafu mchafu, Wewe unamuwaza Baba wa Mtu ambaye yupo Ulaya

Mpende Baba yako, Hakuna atakaye kusaidia kupenda

Mambo ya Lisu muache Lisu na Familia yake

Tofautisha maisha ya mtu binafsi na Siasa

Huu ni wakati wa kulamba asali, Nchi Mama amefungua,, Mama analipa madeni na pesa zote alizokwapua yule Msukuma wenu

Kwa sasa kila mfanyabiashara aliyeporwa anarudishiwa pesa zake

Lissu ameshapewa pesa zake za ubunge ambazo Ndugai na Msukuma walipora

Mama Samia hoyeeeer
 
Nilitegemea Mheshimiwa Dr. Lisu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani. Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Unachekesha sana. Kwani Lisu ni mkenya mpaka awe concerned na dhuluma kwenye uchaguzi wa Kenya? Kwanza ni dhuluma zipi unazozisema? Vipi kama kuna dhuluma uchaguzi wa Libya, au Senegal. Auseme na huo?
 
Majitu mengine sijui yanaona lissu ndo mungu wao? Sasa mambo ya Kenya huyu mkimbizi yanamhusu nini? Kwani huko Kenya hakuna wa kusema kitu? Nyumbu hovyo kabisa.
 
Kwani Lisuu ni mkenya mpaka ajihusishe na uchaguzi wao, Napenda sana democracy ya Kenya,hapa ndipo naona the real meaning of Separation of Power between three arms of Government,Kila moja ni Independent, Mimi binafsi nilikuwa upande wa Raila lakini naona Ruto amewazidi ujanja deep state,let him be declared and sworn In,Raila should accept and Move On,and say goodbye to politics,He will always be remembered as Revolutionary leader who is unlucky to become Kenyan President,
 
Lisu alisema wakenya wamchague Ruto sio Raila Odinga kisa eti Raila alikuwa rafiki.yake Magufuli
 
Nilitegemea Mheshimiwa Dr. Lisu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani. Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Tunaambiwa Uchaguzi wa Kenya ni WA kupigiwa mfano Afrika. Kwa hiyo Tanzania tuchutame. Labda Lissu kachutama, uwezikujua!
 
Nilitegemea Mheshimiwa Dr. Lisu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani. Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Hivi masters graduate (UDSM) anaweza kutengeneza hoja ya kijinga kwa namna hii??? Huu mfumo wa elimu ni lazima uwe overhauled for good of the country.
 
Back
Top Bottom