So Lissu kusema tu wakenya wamchague Ruto kunaathiri vipi credibility ya uchaguzi?Lisu alisema wakenya wamchague Ruto sio Raila Odinga kisa eti Raila alikuwa rafiki.yake Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So Lissu kusema tu wakenya wamchague Ruto kunaathiri vipi credibility ya uchaguzi?Lisu alisema wakenya wamchague Ruto sio Raila Odinga kisa eti Raila alikuwa rafiki.yake Magufuli
Hebu muacheni Lissu msije kuwaamsha Madaktari wa Milembe kuanza kumtafuta si mnajua wenye matatizo ya akili kwa sasa wanatafutwa nyumba kwa nyumbaNilitegemea Mheshimiwa Dkt. Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani.
Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Acheni utotoNilitegemea Mheshimiwa Dkt. Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani.
Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Nenda pia ukailambe... Kwani kama mazuri uifuate !Nilitegemea Mheshimiwa Dkt. Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani.
Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Na wamefanya hivyo. Hivi huwa unajisikiaje jaribio lako la kumuua lissu lilivyofeli? Unajisikiaje leo Magufuli hayupo ila Lissu yupo,?Lisu alisema wakenya wamchague Ruto sio Raila Odinga kisa eti Raila alikuwa rafiki.yake Magufuli
Leave alone that humble gentleman. He sacrificed his life for our country. Muache apumzike. Ndo maana nampenda mama kwasababu alipowezesha nakumfanyie wepes kupata haki na stahiki zake which rightfully belongs to himNilitegemea Mheshimiwa Dkt. Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani.
Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Mavi yako!Mtu mwenyewe #dishlimetilt kiasi hicho unategemea aseme nini? Inawezekana mwezi uko kona hawezi hata kuunga sentensi ya maana!
Huyu unatakiwa umuhamasishe arudi nyumbani; input yake nchini kwake inahitjakika zaidi kuliko kumsikia analalama tu mitandaoni sababu ya matokeo ya uchaguzi. Mhamasishe ai-join tena EACNilitegemea Mheshimiwa Dkt. Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani.
Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Bint kaa hangaika na mumeo siasa huziweziNilitegemea Mheshimiwa Dkt. Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani.
Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Maccm hayajawahi kuwa na akili mkuuMajitu mengine sijui yanaona lissu ndo mungu wao? Sasa mambo ya Kenya huyu mkimbizi yanamhusu nini? Kwani huko Kenya hakuna wa kusema kitu? Nyumbu hovyo kabisa.
Aseme yeye Kama nani waacheni Wakenya wa deal na mambo yao.Nilitegemea Mheshimiwa Dkt. Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani.
Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Kwani Lissu ni Mkenya?Nilitegemea Mheshimiwa Dkt. Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani.
Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
Povu sasa 🤣🤣Mavi yako!
Nyumbu kwa povu hamjambo, migration ya serengeti to masai mara naona inawahenyesha sana 😅😅mashoga ya ccm na majambaz ya kura yameonekana mabwabwa baada ya kuachwa uchi na uchaguz wa kenya
Hv nyie chadema mna matatizo gani, kwani huyo lissu ni nani.? Mbona kama mnampa mamlaka makubwa sana, kwani anahusika au hata akiongea hicho unachotaka ataifaidisha nini Kenya.? Dah aisee hua naumia sana kuona kijana anashabikia mambo ya kipumbavu kama haya.Nilitegemea Mheshimiwa Dkt. Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani.
Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.