Bei yake ikoje mkuu?Upo vizuri. Nyingine zinazidi hata ubora wa Original zenyewe. Mfano club de Nuit intense man limited edition parfum ipo vizuri zaidi kwenye kila sector kuliko Creed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei yake ikoje mkuu?Upo vizuri. Nyingine zinazidi hata ubora wa Original zenyewe. Mfano club de Nuit intense man limited edition parfum ipo vizuri zaidi kwenye kila sector kuliko Creed.
mimi binafsi huwa naagizia UAE au Amazon. Hii limited edition bei kidogo imechangamka kwa Dubai au amazon unaweza kupata kuanzia 180,000. Ila ipo club de Nuit intense man (sio limited edition) nayo ipo vizuri sana. unaweza kupata dubai kwa tsh 75,000. kama una mtu kule unaweza kununua kupitia website ya noon halafu akapelekewa alipo kisha akakutumia. Kumbuka creed yenyewe kwa huku kwetu bei inaanzia laki 8 mpaka 1.3ml. Napendelea kuagiza kwa sababu nasave amount kubwa.Bei yake ikoje mkuu?
1. Oud 24 Hours Majestic Gold Ard Al Zaafaran - clone ya stronger with you leathermkuu huko vinzuri well informed kuhusu hizi pafyum
naomba unitajie pafyum nzuri ya kiume kama aina mbili tatu bei isizidi elf 50 na unaweza kunipa muongozo dar esalaam nitazipata wapi hizo copy OG yaan maduka mtaa nk
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
SBoy by DrocoSalaam.
Wapenzi wa manukato nimewaandalia list ya Perfume maarufu (na zenye bei mbaya) na clones zake zinazofanana kwa asilimia 60 mpaka 90.
Unaweza kuwa ni mpenzi wa perfume fulani lakini hali ya kifedha ikawa hairuhusu hivyo unaweza kupata clone au wenyewe wanaita dupes ambazo zinakuwa bei rahisi.
Baadhi ya hizi clone performance zake zinakuwa chini kidogo na kuna nyingine performance zake zinazidi hata OG yenyewe.
Mathalan creed aventus (bei yake est 700,000) ina clones karibia 5 lakini best ambazo zinaizidi hata creed yenyewe ni Club de Nuit intense man (bei estimation 85,000) na Club de Nuit intense man limited edition parfum ( bei estimation inakaribia 150,000).
Perfumes zipo nyingi sana so inawezekana unayoipenda haipo kwenye list, basi kuwa huru kuuliza. na nitaendelea ku update hii list kadri nitavyoweza.
Ushauri, recommendations, maoni na maswali yanakaribishwa.
Zipo wanauza 80K zenye ubora wa chini,Wachana nao huo mziki mwingine baba
Kuhusu utekaji wa wanunua pafyumu zenu unaofanywa hapa mnapouza unasemaje?Club de Nuit urban elixir. Unaweza kupata kuanzia 80k mpaka 130k. Office yetu itakuwa tayari baada ya miezi 3. Sasa hivi tupo kwenye negotiations ya kupewa udistributor. So tegemea bei za chini zabisa kutoka kwetu hapo baadae Inshaallah
Jiulize utekwaji na hatimaye mauwaji ya mzee kibao if it were your father achana na pafyumu ushoga unaanzia humu..Nishauro perfume ya kutumia as a gentleman, isiyozidi 250,000 lakinj iwe quality ikiwezekana genuine... Mi hua natumia zaidi One Million ila nataka kubadili sasa
Nilijua ukiwa na nembo ya JF-expert member ni lazima uwe na akili. Hatimaye leo nimejua ukweli. Sijui kilichokufanya uvamie kwenye hii post unayosema ina dalili ya ushoga nini. Unless uwe . . . anyway nisiharibu swaum yanguJiulize utekwaji na hatimaye mauwaji ya mzee kibao if it were your father achana na pafyumu ushoga unaanzia humu..
Zamani nilikua natumia hizi spray za elfu 5 au zile za elfu 2 za Pen, na nikawa nanukia poa tu. Zile za kama pen nilizipenda sababu harufu yake haikuwa kali sana ya kukera, sasa miaka ya miwili hii, nimekua napata mafua nikitumia hizo spray jambo ambalo sikuwahi kuwa nalo.umemaanisha Sboy by Draco??
Hiyo still ni Niche perfume. Clone kama clone bado sijakutana nayo. Ila ukimix Creed aventus+ Baccarat rouge basi utakuwa umeipata hiyo Sboy karibia kwa 80%
Hayo Mambo yenu watoto Yori yori....Mm nanunuaga zile za kumixiwa kwa 20,000 nasepa.Salaam.
Wapenzi wa manukato nimewaandalia list ya Perfume maarufu (na zenye bei mbaya) na clones zake zinazofanana kwa asilimia 60 mpaka 90.
Unaweza kuwa ni mpenzi wa perfume fulani lakini hali ya kifedha ikawa hairuhusu hivyo unaweza kupata clone au wenyewe wanaita dupes ambazo zinakuwa bei rahisi.
Baadhi ya hizi clone performance zake zinakuwa chini kidogo na kuna nyingine performance zake zinazidi hata OG yenyewe.
Mathalan creed aventus (bei yake est 700,000) ina clones karibia 5 lakini best ambazo zinaizidi hata creed yenyewe ni Club de Nuit intense man (bei estimation 85,000) na Club de Nuit intense man limited edition parfum ( bei estimation inakaribia 150,000).
Perfumes zipo nyingi sana so inawezekana unayoipenda haipo kwenye list, basi kuwa huru kuuliza. na nitaendelea ku update hii list kadri nitavyoweza.
Ushauri, recommendations, maoni na maswali yanakaribishwa.
Sawasawa boss, basi nikajua wewe ndo unauza hizi perfume.mimi binafsi huwa naagizia UAE au Amazon. Hii limited edition bei kidogo imechangamka kwa Dubai au amazon unaweza kupata kuanzia 180,000. Ila ipo club de Nuit intense man (sio limited edition) nayo ipo vizuri sana. unaweza kupata dubai kwa tsh 75,000. kama una mtu kule unaweza kununua kupitia website ya noon halafu akapelekewa alipo kisha akakutumia. Kumbuka creed yenyewe kwa huku kwetu bei inaanzia laki 8 mpaka 1.3ml. Napendelea kuagiza kwa sababu nasave amount kubwa.
Tafuta namna ya kupunguza stress zako mkuu, si kila jambo ni siasa, majukwaa ya siasa na harakati yapo mengi tu. Yaani kwasababu Kibao katekwa kwahiyo tunuke kumuenzi?Jiulize utekwaji na hatimaye mauwaji ya mzee kibao if it were your father achana na pafyumu ushoga unaanzia humu..