BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Mkuu RAVE na hiyo NOW ni kitu kimoja na sio clone..maana ya clone kwenye jamii ya manukato ni pale perfume ya viwango na bei ya juu inapotengenezewa perfume ya viwango na bei ya kawaida lakini harufu zake zinafanana japo sio sana.RAVE , clone yake ni NOW.(45k)
Pafyum nzur sana..
Mm natumia low budget pafyumu.
nimetumia fighting tempation kwa miaka 10+ ila sasa natumia NOW.
Na zote haruf inadumu kwa muda mrefu.
Clone nyingi zinatengenezwa na kampuni za kiarabu kama vile Lataffa nk.