List Expensive Perfumes na clones zake kwa wenye vipato vya chini

RAVE , clone yake ni NOW.(45k)
Pafyum nzur sana..

Mm natumia low budget pafyumu.
nimetumia fighting tempation kwa miaka 10+ ila sasa natumia NOW.
Na zote haruf inadumu kwa muda mrefu.
Mkuu RAVE na hiyo NOW ni kitu kimoja na sio clone..maana ya clone kwenye jamii ya manukato ni pale perfume ya viwango na bei ya juu inapotengenezewa perfume ya viwango na bei ya kawaida lakini harufu zake zinafanana japo sio sana.
Clone nyingi zinatengenezwa na kampuni za kiarabu kama vile Lataffa nk.
 
Hiyo Rave niliulizia Sehem nikaambiwa 120k. Wakat NOW ni 45k.
Nikajua ni clone yake.
 
Asante sana
 
Tunaelekea kwenye ku collapse kama zairwaa soon ukiona taifa lina chawa wengi wa watawala halafu wao wanashabikia mpira pafyumu na muziki ujue anguko lao ni jirani.
Acha machawa watawale ,toa upuuzi wako wa siasa hapa .

Tafuta kazi ya kufanya ,upate pesa ya kuvaa vizuri na kunukia mambo ya siasa utakufa maskini.
 
Nimetumia perfume kali sana zinaniletea mafua kama nimekuwa kama kitoto cha kondoo ,mafua yanakaa hata miezi 4 ni balaa kwa sasa natumia za kawaida hizi .

Nina barcode signature na 24k pure Gold ila bado ni kali mafua hayaishi ...
 
Tunaelekea kwenye ku collapse kama zairwaa soon ukiona taifa lina chawa wengi wa watawala halafu wao wanashabikia mpira pafyumu na muziki ujue anguko lao ni jirani.
Hizo ni fikra zako duni
 
hizo hapo nishatumia kam tatu hivi na sasa natumia hii hayyat
ahaaa kumbe hizi ndo COPY FAKE ORIGIN
 
Nimetumia perfume kali sana zinaniletea mafua kama nimekuwa kama kitoto cha kondoo ,mafua yanakaa hata miezi 4 ni balaa kwa sasa natumia za kawaida hizi .

Nina barcode signature na 24k pure Gold ila bado ni kali mafua hayaishi ...
Hapo kwenye barcode utakuwa unanukia kitajiri. Product ya Paris Corner hiyo ambayo ni clone ya Silver mountain water ya Creed. 24k pure gold haijanipitia anga zangu. Nishawahi tumia 24 carat pure gold ila kama huwezi harufu kali basi hii sio ya kutumia.
 
Kweli aisee ,mafua yananisumbua kwa sana
 
Naomba unisaidie suggestions za clone au perfume ya budget 50k na napoweza kupata. Nisaidie nitafute na mm ninukie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…