Hivi kweli sifa za ubunge kielimu ni zipi? Naona CCM kuna wagombea wengi wa wenye elimu ya msingi tu. Nakumbuka kuwa kuna kipindi huyu Malaria Sugu aliwahi kutoa pendekeza la kupandisha sifa za wabunge kielimu. Naona CCM ina wagombea wa kutoka kada zote kielimu mwaka huu, ingawa inafurahisha sana kuwa Lussinde wa elimu ya msingi kamshinda mkongwe Malecela, na Aira wa dalasa la saba kamshinda Profesa Sarungi.
Lussinde, Livingstone J.
38
Msingi
MTERA
Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE
Deo Kasenyenda Sanga (JAHPEOPLE )
54
Elimu ya Msingi
NJOMBE KASKAZINI
(i) Hussein Nassor AMAR
52
Elimu ya Msingi
NYANG'WALE
Stephen NGONYANI
54
Msingi
KOROGWE VIJIJINI
Ndugu Mahamud Abuu JUMAA
40
Msingi
KIBAHA VIJIJINI
Moshi S. KAKOSO
42
Shule ya Msingi
MPANDA VIJIJINI
Ndg, Luckson Ndaga MWANJALE
60
Kujiendeleza
MBEYA VIJIJINI
Ndugu Lameck Okambo Airo
44
Darasa la VII
RORYA
MARA