Elections 2010 List Kamili ya WanaCCM Waliopendekezwa Kugombea Nafasi ya Ubunge Tanzania Bara

Elections 2010 List Kamili ya WanaCCM Waliopendekezwa Kugombea Nafasi ya Ubunge Tanzania Bara

Jamani CHADEMA jipangeni vizuri katika majimbo ya Biharamulo,Mbeya Vijijini na Busanda.Hayo majimbo yote ni kama yameshakuwa ya CHADEMA tayari when you recall what happened katika chaguzi ndogo zilizopita,kinachotakiwa wawaweke wagombea walewale katika majimbo hayo coz walikuwa na nguvu na ninaamini bado wana nguvu tena.
 
elimu ya lukuvi ninamashaka nayo kwani ni fisadi wa taaluma hata mbunge wa musoma mjini hana elimu ya chuo kikuu amechakachuaaa😛layball:
 
vedastus mathayo manyinyi hana elimu ya chuo kikuu wapambe wake huku musoma wanadai jamaa ni darsa la saba:welcome:
 
Kama tunataka wawakilishi wawe na degrees za elimu, shurti basi nao wapiga kura wawe japo wamefika kidato cha sita ati, ili wawe makini katika kura za maoni hata kwenye uchaguzi mkuu!
je kwenye dini zetu waumini na viongozi wa hayo madhehebu wanaelimu sawa? kwa vyovyote vile watotofautiana.
 
ametusaidia vingi, barabara, kupata kazi, masomo nk.

Naulizia kigezo cha mantiki ya UADILIFU Mkuu,maana kama ni kutetea wananchi basi hana matatizo.
Lakini chama kinachopitisha watuhumiwa wa wizi wa mali ya umma hii ni kama muendelezo wa bunge la kina Rostam.Mbaya zaidi Mramba kesi yake wala haijaisha(criminal).
 
Deo Kasenyenda Sanga (JAHPEOPLE )
54
Elimu ya Msingi
NJOMBE KASKAZINI
IRINGA

JAHPEOPLE!!!!!

1. Inaamaanisha nini haswa mbele ya huyu Mbunge mtarajiwa?
2. The real meaning of the Word? ... Means falsafa na itikadi yenyewe?
3. Mjani .... Mjengoni?
4. Etc
 
JAHPEOPLE!!!!!

1. Inaamaanisha nini haswa mbele ya huyu Mbunge mtarajiwa?
2. The real meaning of the Word? ... Means falsafa na itikadi yenyewe?
3. Mjani .... Mjengoni?
4. Etc

Azimio jipya nami nimeingia humu kuuliza swali hilo hilo. Kwanini huyu Deo Sanga tu aandikwa a.k.a yake hata kwenye official documents na inaamana gani hasa? What i knw it means is watu wa mungu.
 
Viti maalumu ikoje? Nataka nijue kama Mwakalebela maamuzi ni rushwa, je DC wa Kasulu na mke wa Spika zikoje?
 
Hivi kweli sifa za ubunge kielimu ni zipi? Naona CCM kuna wagombea wengi wa wenye elimu ya msingi tu. Nakumbuka kuwa kuna kipindi huyu Malaria Sugu aliwahi kutoa pendekeza la kupandisha sifa za wabunge kielimu. Naona CCM ina wagombea wa kutoka kada zote kielimu mwaka huu, ingawa inafurahisha sana kuwa Lussinde wa elimu ya msingi kamshinda mkongwe Malecela, na Aira wa dalasa la saba kamshinda Profesa Sarungi.

Ndg, Luckson Ndaga MWANJALE
60
Kujiendeleza
MBEYA VIJIJINI

Hii ndio elimu gani tena?
 
Azimio jipya nami nimeingia humu kuuliza swali hilo hilo. Kwanini huyu Deo Sanga tu aandikwa a.k.a yake hata kwenye official documents na inaamana gani hasa? What i knw it means is watu wa mungu.

Its true! Hiyo a.k. a Katika officila name it can means a lot!

Sawa kwa ukweli inamaanisha Mungu .... lakini kwa mtizamo wa kawaida hapa nyumbani ... maana yake inakwenda zaidi ya hapo ...!
 
Azimio jipya nami nimeingia humu kuuliza swali hilo hilo. Kwanini huyu Deo Sanga tu aandikwa a.k.a yake hata kwenye official documents na inaamana gani hasa? What i knw it means is watu wa mungu.

Amekuwa na kampuni ya uchukuzi kwa miaka mingi na magari yake hayo yamepigwa charter ya Jah People, hivyo hilo likajengeka kuwa ndio jina lake maarufu, wakiandika Deo Sanga peke yake wananchi wanaweza wakashindwa kumtambua.

Ndiye Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, aliyemwangusha Philip Mangula.
 
Nimesoma katiba yetu kuhusu sifa za mtu kuchaguliwa kuwa mbunge au rais, nikagundua kuwa hata kama mtu hakwenda shule kabisa, lakini akafunzia nyumbani kusoma na kuandika kiswahili, bado anaweza kuwa mbunge au rais.

Sasa kweli wabunge wa aina hiyo ndio unaowategemea watunge sheria za nchi huku hawana uelewa wa mambo ya dunia kwa kina ukizingatia kuwa ripoti nyingi za dunia huandikwa kwa kiingereza.

BTW: Nina wasi wasi kuwa huenda Aden Rage hana sifa za kugombea ubunge kwa vile aliwahi kufungwa kwa kosa la kutokuwa mwaminifu kazini ambapo alitumikia kifungo na kusamemewa kwa msamaha wa rais Kikwete ambayo ni chini ya miaka mitano iliyopita.
 
Amekuwa na kampuni ya uchukuzi kwa miaka mingi sana na magari yake hayo yamepigwa charter ya Jah People, hivyo jina hilo likajengeka kuwa ndio jina lake la maarufu, wakiandika Deo Sanga peke yake wananchi wanaweza wakashindwa kumtambua.

Ndiye Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, aliyemwangusha Philip Mangula.

Underlined!!!!

Is that a reason!!!! ?
 
Hivi kweli sifa za ubunge kielimu ni zipi? Naona CCM kuna wagombea wengi wa wenye elimu ya msingi tu. Nakumbuka kuwa kuna kipindi huyu Malaria Sugu aliwahi kutoa pendekeza la kupandisha sifa za wabunge kielimu. Naona CCM ina wagombea wa kutoka kada zote kielimu mwaka huu, ingawa inafurahisha sana kuwa Lussinde wa elimu ya msingi kamshinda mkongwe Malecela, na Aira wa dalasa la saba kamshinda Profesa Sarungi.

Lussinde, Livingstone J.
38
Msingi
MTERA

Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE

Deo Kasenyenda Sanga (JAHPEOPLE )
54
Elimu ya Msingi
NJOMBE KASKAZINI

(i) Hussein Nassor AMAR
52
Elimu ya Msingi
NYANG’WALE

Stephen NGONYANI
54
Msingi
KOROGWE VIJIJINI

Ndugu Mahamud Abuu JUMAA
40
Msingi
KIBAHA VIJIJINI

Moshi S. KAKOSO
42
Shule ya Msingi
MPANDA VIJIJINI

Ndg, Luckson Ndaga MWANJALE
60
Kujiendeleza
MBEYA VIJIJINI

Ndugu Lameck Okambo Airo
44
Darasa la VII
RORYA
MARA

binafsi sijaona wenye madigriii ndani ya sisiemu wametusaidia nini...kwa hiyo sioni tofauti kati ya msingi na maprofesa!!
 
Wabunge Wazee:
1.Basil Mramba (70).
2.Deogratias Ntukamazina (69).
3.Samwel Sitta (68).
4.Prof.Mwakyusa (68).

Wabunge vijana chini ya miaka 33;
1.Said Mtanda (Jimbo la Mchinga) miaka 30. Elimu ya Chuo Kikuu.
2.Steven.J.Masele (Shinyanga mjini) miaka 32.Elimu ya Chuo Kikuu.
3.Nchambi.S.Massoud (Kishapu) miaka 32.Elimu ya Shule ya Sekondari.
4.Mwigulu.N.Matelu (Iramba Magh) miaka 32.Elimu ya Chuo Kikuu.

****Katika Uteuzi wa Wagombea wa CCM kuna Wagombea 10 wana Elimu ya shule ya Msingi. (STD VII)
 
Madabida naona kapitishwa hongera yakena huenda akaingia ktk baraza jipya la mawaziri
 
HIVI HAWA NI WANAWAKE AU WANAUME JAMANI NAOMBA KUJUA:
1. Lolesia Maselle BUKWIMBA
39
Chuo Kikuu
BUSANDA
MWANZA

2. Aeshi khalfan HILALY
37
Darasa la 7
SUMBAWANGA MJINI
RUKWA

Natanguliza shukrani za awali.
 
Back
Top Bottom