Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,715
hahaha ya kweli hayo kaka!! isije ikawa ujambazi ni sifa mojawapo ndani ya ccm! mana majambazi ya kalam yamepita mengi!Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE
KIGOMA
Elimu ya Msingi na tuhuma nyingi za UJAMBAZIII!
SINGIDANimeona hapo so far the Youngest candidate ni Mbunge mtarajiwa wa Nzega Dr. Hamis Kigwangala!!..only 35!!
Nimeona hapo so far the Youngest candidate ni Mbunge mtarajiwa wa Nzega Dr. Hamis Kigwangala!!..only 35!!
hawa naona wapigwe chini, hata Richard Ndassa anasema kidato cha tatu, huyu si ni darasa la saba tu, hii ni chitalilo design, hapa chadema wakiweka mtu wanapita kama wanaria vileHivi kweli sifa za ubunge kielimu ni zipi? Naona CCM kuna wagombea wengi wa wenye elimu ya msingi tu. Nakumbuka kuwa kuna kipindi huyu Malaria Sugu aliwahi kutoa pendekeza la kupandisha sifa za wabunge kielimu. Naona CCM ina wagombea wa kutoka kada zote kielimu mwaka huu, ingawa inafurahisha sana kuwa Lussinde wa elimu ya msingi kamshinda mkongwe Malecela, na Aira wa dalasa la saba kamshinda Profesa Sarungi.
Lussinde, Livingstone J.
38
Msingi
MTERA
Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE
Deo Kasenyenda Sanga (JAHPEOPLE )
54
Elimu ya Msingi
NJOMBE KASKAZINI
(i) Hussein Nassor AMAR
52
Elimu ya Msingi
NYANG'WALE
Stephen NGONYANI
54
Msingi
KOROGWE VIJIJINI
Ndugu Mahamud Abuu JUMAA
40
Msingi
KIBAHA VIJIJINI
Moshi S. KAKOSO
42
Shule ya Msingi
MPANDA VIJIJINI
Ndg, Luckson Ndaga MWANJALE
60
Kujiendeleza
MBEYA VIJIJINI
Ndugu Lameck Okambo Airo
44
Darasa la VII
RORYA
MARA
nadhani ni the youngest ni mwigulu singida 32yrs old....na mwingine tena ana 32yrs ila nimesahau jina lake naona tabu kuirudia list upya.
nasubiri list ya alnuur....samahani kama nimespel vibaya jina la kijarida
ametusaidia vingi, barabara, kupata kazi, masomo nk.Friends of JK,(friendsofjeykey) Mkuu hebu tuulizie huko vikaoni, kwa mantiki ipi Basil Mramba, mtu mwenye kesi nzito mahakamani akawa na uadilifu wa kukiwakilisha chama mjengoni kupitia jimbo la huko Rombo