je kwenye dini zetu waumini na viongozi wa hayo madhehebu wanaelimu sawa? kwa vyovyote vile watotofautiana.Kama tunataka wawakilishi wawe na degrees za elimu, shurti basi nao wapiga kura wawe japo wamefika kidato cha sita ati, ili wawe makini katika kura za maoni hata kwenye uchaguzi mkuu!
ametusaidia vingi, barabara, kupata kazi, masomo nk.
TABORA
Mkuu vipi mikoa mingine mbona hujatujulisha kama Shinyanga, Dodoma, Pwani nk?
Kama unaweza kuipata please tuwekee. Otherwise asante sana kwa thread nzuri.
Deo Kasenyenda Sanga (JAHPEOPLE )
54
Elimu ya Msingi
NJOMBE KASKAZINI
IRINGA
JAHPEOPLE!!!!!
1. Inaamaanisha nini haswa mbele ya huyu Mbunge mtarajiwa?
2. The real meaning of the Word? ... Means falsafa na itikadi yenyewe?
3. Mjani .... Mjengoni?
4. Etc
Hivi kweli sifa za ubunge kielimu ni zipi? Naona CCM kuna wagombea wengi wa wenye elimu ya msingi tu. Nakumbuka kuwa kuna kipindi huyu Malaria Sugu aliwahi kutoa pendekeza la kupandisha sifa za wabunge kielimu. Naona CCM ina wagombea wa kutoka kada zote kielimu mwaka huu, ingawa inafurahisha sana kuwa Lussinde wa elimu ya msingi kamshinda mkongwe Malecela, na Aira wa dalasa la saba kamshinda Profesa Sarungi.
Ndg, Luckson Ndaga MWANJALE
60
Kujiendeleza
MBEYA VIJIJINI
Azimio jipya nami nimeingia humu kuuliza swali hilo hilo. Kwanini huyu Deo Sanga tu aandikwa a.k.a yake hata kwenye official documents na inaamana gani hasa? What i knw it means is watu wa mungu.
Azimio jipya nami nimeingia humu kuuliza swali hilo hilo. Kwanini huyu Deo Sanga tu aandikwa a.k.a yake hata kwenye official documents na inaamana gani hasa? What i knw it means is watu wa mungu.
Amekuwa na kampuni ya uchukuzi kwa miaka mingi sana na magari yake hayo yamepigwa charter ya Jah People, hivyo jina hilo likajengeka kuwa ndio jina lake la maarufu, wakiandika Deo Sanga peke yake wananchi wanaweza wakashindwa kumtambua.
Ndiye Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, aliyemwangusha Philip Mangula.
Hivi kweli sifa za ubunge kielimu ni zipi? Naona CCM kuna wagombea wengi wa wenye elimu ya msingi tu. Nakumbuka kuwa kuna kipindi huyu Malaria Sugu aliwahi kutoa pendekeza la kupandisha sifa za wabunge kielimu. Naona CCM ina wagombea wa kutoka kada zote kielimu mwaka huu, ingawa inafurahisha sana kuwa Lussinde wa elimu ya msingi kamshinda mkongwe Malecela, na Aira wa dalasa la saba kamshinda Profesa Sarungi.
Lussinde, Livingstone J.
38
Msingi
MTERA
Ndg. Jamal Abdallah TAMIMU
41
Elimu ya msingi
MUHAMBWE
Deo Kasenyenda Sanga (JAHPEOPLE )
54
Elimu ya Msingi
NJOMBE KASKAZINI
(i) Hussein Nassor AMAR
52
Elimu ya Msingi
NYANGWALE
Stephen NGONYANI
54
Msingi
KOROGWE VIJIJINI
Ndugu Mahamud Abuu JUMAA
40
Msingi
KIBAHA VIJIJINI
Moshi S. KAKOSO
42
Shule ya Msingi
MPANDA VIJIJINI
Ndg, Luckson Ndaga MWANJALE
60
Kujiendeleza
MBEYA VIJIJINI
Ndugu Lameck Okambo Airo
44
Darasa la VII
RORYA
MARA