Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji usipo yanywa utayaoga
Hata mm simuoni Wizkid, wakat pia inasemekana amefanya vizuri sana Afrika na sehemu nyingine duniani.Wizkid unamwachaje hapo..
Wizkid starboy mtu mbaya,tiwasavage,Casper nyovest...aaaahhh
Wizkid wapi hapoKichwa cha habari kama kinavyosema hapo juu.
Zifuatazo ni list za wasanii 10 barani afrika ambapo wameweka record za ngoma zao kutazamwa sana katika mtandao wa YOU TUBE kwa MWAKA 2018.
1.P-Square- 676M+
2.Davido-649M
3.Diamond Platnumz-516M+
4.Mr.Flavor-434M+
5.TeknoMile-369M+
6.YemiAlade-290M+
7.Timaya-193M+
8.Harmonize-183M+
9.Patoraking-173M+
10.Mreazi-166M+
Now Ngoma 10 bora zilizofanya vizuri katika bongoflevani MWAKA 2018.
1.Kwangwaru-Harmonize
2.African Beauty-Diamond Platnumz ft Omario
3.Iokote-Maua Sama
4.Mwanza-Rayvanny ft Diamond Platnumz
5.Mvumo wa radi-AliKiba
6.Hodari-Mboso
7.Gogaga-Iamlavalava
8.Jibebe-Diamond Platnumz
9.Katika-Navykenzoofficial ft Diamond Platnumz
10.Ninogeshe-Nandy.