List Konk za Wasanii 10 bora barani africa zilizotazamwa sana youtube na List konk ngoma 10 bora za bongofleva zilizofanya vizuri mwaka 2018.

List Konk za Wasanii 10 bora barani africa zilizotazamwa sana youtube na List konk ngoma 10 bora za bongofleva zilizofanya vizuri mwaka 2018.

Alikiba umebakia ushabiki tu kiwango kimeisha Mondi Fundi 😂😂😂
 
Mleta mada una roho nzuri sana ,umeona umfariji Alikiba hebu niambie kwa nini mvumo wa radi na sio iyena.
Screenshot_20181229-140054.png


Viewers mil 4 kwa viewers mil 12
Screenshot_20181229-140054.png
 

Attachments

  • Screenshot_20181229-140008.png
    Screenshot_20181229-140008.png
    163.8 KB · Views: 32
Kichwa cha habari kama kinavyosema hapo juu.
Zifuatazo ni list za wasanii 10 barani afrika ambapo wameweka record za ngoma zao kutazamwa sana katika mtandao wa YOU TUBE kwa MWAKA 2018.
1.P-Square- 676M+
2.Davido-649M
3.Diamond Platnumz-516M+
4.Mr.Flavor-434M+
5.TeknoMile-369M+
6.YemiAlade-290M+
7.Timaya-193M+
8.Harmonize-183M+
9.Patoraking-173M+
10.Mreazi-166M+

Now Ngoma 10 bora zilizofanya vizuri katika bongoflevani MWAKA 2018.
1.Kwangwaru-Harmonize
2.African Beauty-Diamond Platnumz ft Omario
3.Iokote-Maua Sama
4.Mwanza-Rayvanny ft Diamond Platnumz
5.Mvumo wa radi-AliKiba
6.Hodari-Mboso
7.Gogaga-Iamlavalava
8.Jibebe-Diamond Platnumz
9.Katika-Navykenzoofficial ft Diamond Platnumz
10.Ninogeshe-Nandy.
Wizkid wapi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom