List mpya: Mikoa kumi (Bara) kinara kwa uchawi

Mikoa karibia yote ni imejaa wachawi na washirikina ndiyo maana maendeleo yanachelewa tunabaki kuilaumu serikali kumbe wachawi wapo kwenye jamii wanaokwamisha maendeleo .

Fikiria kumbe over East and Central Africa eti TZ inaongoza kwa mambo hayo!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ndio vinara mkuu. Ukifuatilia habari za mwenge ndio utajua wote sisi washirikina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila eneo duniani lina mila na desturi zake......so hakuna sehemu hakuna uchawi.....hata wewe mleta Uzi kioo changu cha jadi kinaonyesha unaroga sana
 
Nawe utakua mshirikina sana, ama mchawi moja kwa moja, usipo jihusisha na ushirikina, huwezi shuhuda uchawi, Uchawi ni nguvu za giza, usipojihusisha nazo ni ngumu kudhibitisha.
Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.

1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. Katavi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.

1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. Katavi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama!
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Manyara
Haipo ktk orodha yako, basi Tanzania hakuna uchawi. Hiyo mikoa ni kiboko kwa uchawi na wachawi wake ni wenye elimu ya PhD na baadhi wanafundisha vyuo vikuu hivyo ni maProf!

Angalia upya orodha yao

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…