Gachuma jr
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 839
- 451
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi unataka akugeuze nn ? Wali upakuliwe au uliwe ?naomba uniroge mkuu mshana
Mkuu hii ni ranking sio kila anayeishi huko ni mshirikina ni vizuri kuelewaMbona hiyo list ni karibu nusu ya Tz, yaani karibu Tz yote ni washirikina?
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni ya bara mkuuMbona sijaona Mkoa wa Kaskazini Pemba na Unguja ?
Au wenzetu kule wako mbali na mambo hayo?
[emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ndio vinara mkuu. Ukifuatilia habari za mwenge ndio utajua wote sisi washirikinaMikoa karibia yote ni imejaa wachawi na washirikina ndiyo maana maendeleo yanachelewa tunabaki kuilaumu serikali kumbe wachawi wapo kwenye jamii wanaokwamisha maendeleo .
Fikiria kumbe over East and Central Africa eti TZ inaongoza kwa mambo hayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar wapo ila kulingana na population yake inaonekana ni wachache ila ni wengi hasa wazee wa chuma uleteDr. Manyaunyau aliwafichua wachawi wengi sana jijini Dar. Kabla ya hapo sikujua kama Dar kuna wachawi wengi kiasi kile.
Sent using Jamii Forums mobile app
mungu???kweli kabisa, na vile mikoa kaa kigoma, tanga na rukwa ilivyojaliwa na mungu kwa kuwa na natural resources nzuri kweli, good and fertile soil, enough rainfall and such
Mkuu hii haimaanishi mikoa mingine hakuna uchawi ila huko top 10 kumezidiKila eneo duniani lina mila na desturi zake......so hakuna sehemu hakuna uchawi.....hata wewe mleta Uzi kioo changu cha jadi kinaonyesha unaroga sana
Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.
1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Papua New Gambia ipo sayari gani?Zijue nchi 14zinazoongoza kwa uchawi duniani
14.Tanzania
13. Gambia
12. Nepal
11. India
10. Papua New Gambia
9. West india
8. Colombia
7. Ghana
6. DRC
5. Nigeria
4. S.A
3. Chile
2. Mexico
1. Romania
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu mtafitiMkuu hii haimaanishi mikoa mingine hakuna uchawi ila huko top 10 kumezidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Iringa mbeya hakuna uchawi ila wanapenda kuwaita waganga toka sehem nyngine
mbona Togo sioni katika list hii.inaashiria umejitungiaZijue nchi 14zinazoongoza kwa uchawi duniani
14.Tanzania
13. Gambia
12. Nepal
11. India
10. Papua New Gambia
9. West india
8. Colombia
7. Ghana
6. DRC
5. Nigeria
4. S.A
3. Chile
2. Mexico
1. Romania
Sent using Jamii Forums mobile app
i meant ALMIGHTY GOD, or else who blesses people with natural resources mkuu?????mungu???
Kama!Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.
1.Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma
10. Katavi
Sent using Jamii Forums mobile app