LiST OF AFRICAN COUNTRIES BY GDP 2018

She should pay you. You can offer her a discount but she should definetely pay you.
 
amegusa kwenye usd 3 billion ambazo kenya imekopeshwa na china kujenga sgr na kununuliwa gari moshi chakavu la kizamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikisema low IQ mnapandwa na pressure ila ni kweli!.. PPP measures cost variables, it’s not a measure of economy output or wealth. Elewa maana ya purchasing power parity

 
Nikisema low IQ mnapandwa na pressure ila ni kweli!.. PPP measures cost variables, it’s not a measure of economy output or wealth. Elewa maana ya purchasing power parity

View attachment 861418
Wewe huna akili na bora ungeendelea kujificha tu. Tunajua tofauti kati ya nominal na PPP. China ndo ya kwanza kwa PPP, ya pili ni Marekani duniani. Sasa kwenye list ambayo Marekani na China wanawania namba moja Tanzania inaongoza East Africa sawa mzee?
Umeng'ang'ania kuelezea kuhusu PPP, tunaijua na tumewazidi.
Umeona billions of dollars zile lakini mzee?
Tumeizidi Kenya GDP PPP we unasemaje?
 
Wewe nimechoka trying to educate u. Financial topics are my foray, hii ndio kazi yangu around the world bila kufafanua sana. So again jaribu kusoma kidogo ndio upate ujuzi
 
hahahah PPP kumbe....hivi unajua China imeshinda USA kwa mbali sana ukizingatia PPP?

.leta GDP per capita na GDP (nominal)...PPP (purchasing power parity) upuuzi tu

ndio maana pale juu unaziona egypt na nigeria wameishinda South Africa ambao ni upuuzi mtupu...kila mtu anajua SA ndio babayao...fananisha GDP per capita ya SA na Nigeria ndio uone ulivyo mjinga akilini
 
Indicators zipo nyingi sana za kupima uchumi kijana.
1. PPP
2. GNI
3. Economic Inclusion
Hizi ndizo indicators zinazohusu wananchi directly.
GDP per capiter is simply GDP/Population. Hizi ni simple arithmetic tu kijana. Ukiwa na population ndogo utaonekana na per capiter kubwa. Tukija kwenye Economic Inclusion hapo ndipo tunaangalia uchumi directly kwa mtu.

Twende kazi kwa kudadavua kama kweli wewe ni mdadavuzi.
 
bas umesema ukweli kabisa...uchumi huwa mtu anaangazia mambo mengi including those you have mentioned above....and mind you Kenya wins in almost everything expect PPP which doesn't mean anything as I have explained...China's PPP is larger than that of USA...tukija barani africa, Nigeria's PPP is larger than that of South Africa....Nonetheless, USA and South Africa are wealthier and more affluent nations compared to China and Nigeria respectively....kwa inclusion pia naweza nikasema Tz imeishinda Kenya sababu yake Kenya ni nchi ya kibepari ila tz imekuwa socialist country kwa muda mrefu...na uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko ule wa tz...
 
Mwaka jana na mwaka juzi ilikuwahe?Tanzania na kenya zilishika nafasi gani?
 
ur very stupid
 
Wewe nimechoka trying to educate u. Financial topics are my foray, hii ndio kazi yangu around the world bila kufafanua sana. So again jaribu kusoma kidogo ndio upate ujuzi
View attachment 861454
Nani kaongelea PPP adjusted per capita mbwa wewe?
Mbona GDP PPP per capita nyinyi ndo mnaongoza kwa takwimu za mwaka jana!
Uchumi is ' my expertise' mavi matupu. GDP PPP in itself serves us in international business.
 
Wewe nimechoka trying to educate u. Financial topics are my foray, hii ndio kazi yangu around the world bila kufafanua sana. So again jaribu kusoma kidogo ndio upate ujuzi
View attachment 861454
Wewe bwege si ndo ulianza kwa kusema PPP ni exchange rate? Mbwa kasoro mkia. Kila mtu anajua GDP PPP ni nini hapa, kwahio mjadala uwe tumewazidi.
 
Nakuona unazidi kujikanyaga kanyaga tu. Eti uchumi wa kenya mkubwa kuliko wa tanzania at the same time unasema PPP ya tanzania ni kubwa which is wich.
Nimekuwekea GNI umeona!?
Halafu ni ujinga uliopitiliza kuita eti kenya ni nchi ya kibepari!!? Kenya ni nchi ya kihuni ni shamba la wazungu wala siyo ya kibepari. Nitajie mtu mmoja tu mkenya mwenye characteristics za kibepari.
 
uchumi unakuwa measured na GDP (nominal)...total output of goods and services of a country...na ndio maana nasema Kenya ina uchumi mkubwa kuliko tz....PPP nimekwambia haijalishi chochote...iko juu tu kwa sababu ya population yenu ilio kubwa...utapata nchi kubwa kubwa kama ethiopia na tz ambazo ni nchi zilizo dhoofika kiuchumi kuliko Kenya zinakuwa na PPP kubwa sababu ya population.the same applies to China and Nigeria...ila ukitaka kabisa kujua ukweli wa mambo kabisa (yaani the best indicators of wealth) angalia GDP per capita na HDI human development index...ambazo nchi kama seychelles, gabon, mauritius na afrika kusini zipo juu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…