BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
- Thread starter
- #61
kwa hivyo population size is the only decisive factor here?...hivi niulize hawa watz huwa wanafunzwa nini shuleni kweli? so kwa sababu nilitaja wingi wa watu ndani ya nchi kuwa mojawapo ya factors zinazoongeeza PPP ina maanisha ndio the only factor?...jameni haya mambo ya uchumi yanataka mtu sharp kiakili...maswali kama haya yanaonyesha gaps na shida tulizo nazo kwenye elimu barani afrika...
Wewe acha kupelekwa na huyo bwege, he's twisting the word's meaning na anakubeba. If you don't know what it is search it yourself. If you still don't understand search it in simpler explanations. For starters anza na hii
Purchasing Power Parity - Simple English Wikipedia, the free encyclopedia