BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
- Thread starter
-
- #61
kwa hivyo population size is the only decisive factor here?...hivi niulize hawa watz huwa wanafunzwa nini shuleni kweli? so kwa sababu nilitaja wingi wa watu ndani ya nchi kuwa mojawapo ya factors zinazoongeeza PPP ina maanisha ndio the only factor?...jameni haya mambo ya uchumi yanataka mtu sharp kiakili...maswali kama haya yanaonyesha gaps na shida tulizo nazo kwenye elimu barani afrika...
Useless Fool now that weβve schooled you like a school boy on what PPP is do you still think a country with higher PPP is richer than a country with low PPP? Bure kabisa, IQ kama ya nyani msituni.Ungepita tu kimya kimya, PPP ndo kipimo cha living standards za watu kwenye nchi. A country with higher PPP is richer than a country with lower PPP and higher per capita because in exchange rates goods are relatively cheap in a country with higher PPP than a country with lower PPP.
To put it in a way you can understand, if Kenya has 2$ PPP and Tz has 4$ this means Tanzania can buy as twice with their money what Kenya can buy once with their money regardless of per capita.
Nyuzi kama hizi upite tu mdau kama una mapovu, its humiliating lecturing you.
Explain the meaning of better off, SA wapo better off, how?hahaha licha ya kuwa Nigeriua ndio ina uchumi kubwa africa, waafrika kusini wapo better off kuliko wanaija....ninachomaanisha ni kuwa PPP mara nyingi ni kwasababu ya population tu...ndio maana pia china ina PPP kubwa kuliko USA...ila wamarekani ni tajiri zaidi kuliko wachina...wana maisha bora kuliko wachina...teh same applies to Nigeria and SA...
kama wazazi walikupeleka shule walipata hasara kubwa!Nikisema low IQ mnapandwa na pressure ila ni kweli!.. PPP measures cost variables, itβs not a measure of economy output or wealth. Elewa maana ya purchasing power parity
View attachment 861418
Na si walikuwa wametuzidi, sasa tumewafikia na tumewazidi, and we're going after that gdp that makes them think they're levels with USA and Japan.You've been explaining about GDP PPP as if we asked you to explain about it? Why do you feel the need to explain the meaning of purchasing power parity? Did we ever tell you that we don't know what it is? I'm the one who brought up the issue about Tz bossing Kenya in PPP why feeling the need to explain what PPP is? We know what it is and we've gone above you in world rankings. Are you bitter because now can't look down on us thus you feel the need to twist the meaning of the word? Don't, we know what PPP is, regardless of what your useless brainwashing internet will say, we know we've bettered you in standards of living. That's why Tanzanians beers sell cheap in Kenya than Kenyas. A dollar circulate more in Tanzania than it does in Kenya. Tumewazidi, stop name calling and bow to your new kings.
Kumbe Kenya tunawapiku.viva magufuli,viva ccm.hoyee.kidumu chama chetuList of African countries by GDP PPP ( purchasing power parity) as recorded in 2018
1. Egypt
2. Nigeria
3. South Africa
4. Algeria
5. Morocco
6. Ethiopia
7. Angola
8. Sudan
9. Libya
10. Tanzania - 176.465 billions of international dollars
.
.
.
.
.
.
11. Kenya - 175.978
15. Uganda - 95.434
28. South Sudan - 35.254
35. Rwanda - 26.997
44. Burundi - 8.184
Niaje wadau?
What is the meaning of a rich country to you. I believe a rich country is the one that makes life easier to her people, moderate equality, which is higher ppp but with a moderate population, unlike India's case, too many people there. I prefer Chinese one, i hope ccm does.Useless Fool now that weβve schooled you like a school boy on what PPP is do you still think a country with higher PPP is richer than a country with low PPP? Bure kabisa, IQ kama ya nyani msituni.
Too late for you to backtrack your argument...your posts are here for everyone to see how ignorant you are.
Nilikwambia hapo awali this is my foray. Next time learn a topic before displaying pure ignorance.
View attachment 861714
Hajui kuwa GDP ya Nigeria inaizidi ya SAπππHapa sijaelewa unataka kuhalalisha kitu gani ndugu.
SA iliishapitwa kiuchumi africa na nigeria muda mrefu sasa. Au huna taarifa!!! Kama inazidiwa PPP na SA basi una hoja ya msingi kwa madai yako,but tunaona hapo hata PPP bado nigeria iko juu.
Sasa hivi umekubali kuwa Nigeria iko na GDP kubwa kuliko SAπππ Tatizo huwa mnakulupuka bila research .ππ Basi kwa kuwa TZ tuko na maisha mazuri kuliko KE basi jua pia tunawazidi kiuchumiππnaangazia GDP per capita na HDI....uchumi wa Nigeria ni kubwa kuliko ule wa SA hio naelewa kabisa ila waafrika kusini wana maisha bora zaidi kuliko wanaija...yaani, the average south african is wealthier than the average nigerian...thats my point...sijui kama unanielewa?
Dogoooo, you are just dragging this out aren't you?Useless Fool now that weβve schooled you like a school boy on what PPP is do you still think a country with higher PPP is richer than a country with low PPP? Bure kabisa, IQ kama ya nyani msituni.
Too late for you to backtrack your argument...your posts are here for everyone to see how ignorant you are.
Nilikwambia hapo awali this is my foray. Next time learn a topic before displaying pure ignorance.
View attachment 861714
Nilitaka uongelee hizo factors nyingine, maana mishipa ilikua inakutoka ukitaja population tu. Sasa una ruka ruka tu! Ukiona sehemu mmenyooshwa msitafute sababu za kitoto. Kipindi mlivyo kua na PPP kubwa mbona hamku ongelea kuhusu population. Nyie pambaneni na wachina ambao wana wadai mpaka wana waita manyani. Tz is prospering and your stupidity cant stop it.kwa hivyo population size is the only decisive factor here?...hivi niulize hawa watz huwa wanafunzwa nini shuleni kweli? so kwa sababu nilitaja wingi wa watu ndani ya nchi kuwa mojawapo ya factors zinazoongeeza PPP ina maanisha ndio the only factor?...jameni haya mambo ya uchumi yanataka mtu sharp kiakili...maswali kama haya yanaonyesha gaps na shida tulizo nazo kwenye elimu barani afrika...
hahaha i blame ur education systemNilitaka uongelee hizo factors nyingine, maana mishipa ilikua inakutoka ukitaja population tu. Sasa una ruka ruka tu! Ukiona sehemu mmenyooshwa msitafute sababu za kitoto. Kipindi mlivyo kua na PPP kubwa mbona hamku ongelea kuhusu population. Nyie pambaneni na wachina ambao wana wadai mpaka wana waita manyani. Tz is prospering and your stupidity cant stop it.
hahahaha NIgeria ina GDP kubwa kuliko SA sasa kwa muda mrefu tu...nani hajui hilo ila waafrika kusini wana maisha bora kuliko ya wanaija...sababu yake ni GDP per capita, HDI etc...Kenya na tz ni tofauti...tumewashinda kwenye GDP per capita, HDI pamoja na GDP nominal...hivyo uchumi wa Kenya ni mkubwa zaidi kuliko wa tz...Hajui kuwa GDP ya Nigeria inaizidi ya SAπππ
Sasa hivi umekubali kuwa Nigeria iko na GDP kubwa kuliko SAπππ Tatizo huwa mnakulupuka bila research .ππ Basi kwa kuwa TZ tuko na maisha mazuri kuliko KE basi jua pia tunawazidi kiuchumiππ
...
mimi ni mwanafunzi wa economics so I think I know what PPP is in and out...but I want you to explain the reason why Indonesia has a higher PPP than the UK as per this list below...does this mean that the average Indonesian is wealthier than the avg Briton? also explain why China is on top of the US...also explain why India is number 3 juu ya Japan, UK, Canada, Australia licha ya kuwa nchi maskini wa kutupwa kila mtu analijua hilo...Wewe acha kupelekwa na huyo bwege, he's twisting the word's meaning na anakubeba. If you don't know what it is search it yourself. If you still don't understand search it in simpler explanations. For starters anza na hii
Purchasing Power Parity - Simple English Wikipedia, the free encyclopedia
better off...yaani waafrika kusini wapo na maisha bora kuliko ya wanaija...thats what i meantExplain the meaning of better off, SA wapo better off, how?
Tanzanians are thick headed!hahahaha NIgeria ina GDP kubwa kuliko SA sasa kwa muda mrefu tu...nani hajui hilo ila waafrika kusini wana maisha bora kuliko ya wanaija...sababu yake ni GDP per capita, HDI etc...Kenya na tz ni tofauti...tumewashinda kwenye GDP per capita, HDI pamoja na GDP nominal...hivyo uchumi wa Kenya ni mkubwa zaidi kuliko wa tz...
Maisha bora ni neno pana sana, hii ni debate ingine kubwa sana, wacha nisikuchoshe.better off...yaani waafrika kusini wapo na maisha bora kuliko ya wanaija...thats what i meant
instagram ya shilawaduChanzo cha habari yako