List of African Countries with Hardest Working and Laziest People

List of African Countries with Hardest Working and Laziest People

Here is a list of countries that have the laziest citizens and Tanzanians didn't disappoint. Tanzania has retained the top spot again for four years in a row.
1. Tanzania
2. Burundi
3. Swaziland
4. Lesotho
5. Equatorial Guinea
6. Congo
7. Cape Verde
8. South Sudan.
si ndio maana hata maandamano ya mangekimambi yalishindikana.Aisee tulim disappoint sana bibi dada wa taifa aisee.but Mungu yu pamoja nasi najua kuna kitu kizuri anachotuandalia kinakuja na watawala hawatoamini kamwe maana mimi binafsi naiona ccm mpya na Tanzania mpya
 
Tanzania inalisha nchi zote zinazoizunguka pamoja na kujilisha yenyewe bila kuingiza chakula kutoka nje

Kuna nchi hazina uwezo wa kujilisha zenyewe

Hapo hapo Tanzania inaongoza Africa kwa kulima mazao karibu yote ya biashara sasa hapo sijui watanzania wanakuaje wavivu
 
Why not? Kenya ikipata tatizo mbona sehemu ya haraka kupata msaada ni Tz?
Hakuna msaada tushawahipata kutoka kwenu wala Albino nyie.Who want to associate with demonic cannibals
 
Mleta uzi amepewa za uso balaa 😂😂😂 hapo alipo ana hali mbaya sana right now 😂😂😂
Stress za ajira kusimama, failed Sgr, sgr isiyoenda popote, mikebe ya changaa 😂😂😂 stress lazima ziwepo.
 
WHAT IS THE PROBLEM WITH THESE PEOPLE....HAPA KAZI TU.hizo rank wajiliwaze nazo tu.😎😎😎
 
Halafu Burundi kaka yao mdogo amewafuata nyuma kwa uzembe, wote maskini, duh.
 
Hakuna msaada tushawahikupata kutoka kwenu wala Albino nyie.Who want to associate with demonic cannibals
Karibu JF. Endelea kuweka bundle na uwakaribishe wakenya wengine humu nao waweke bundle.
 
Ujuaji mwingi mbele kiza
Unataka kusema unafahamu hii issue ya Barrick kuliko mtanzania, hivi ndio huwa nawachukia wakenya, mpo wajuaji sana, mkenya anaweza hata kukubishia namna ulivyolala na mke wako jana usiku ili tu kujifanya kwamba yeye ndio mwenye akili na amempita mtanzania kwa kila kitu

Kwa kifupi hua mnaboa,
Kuchukia wakenya ni shidako, hainihusu hata kidogo na pia haitanikosesha usingi leo. But the truth remains that you have been screwed in the deal.
 
Halafu Burundi kaka yao mdogo amewafuata nyuma kwa uzembe, wote maskini, duh.

Maana halisi ya Uvivu ni hii
IMG_7295.JPG
 
Here is a list of countries that have the laziest citizens and Tanzanians didn't disappoint. Tanzania has retained the top spot again for four years in a row.
1. Tanzania
2. Burundi
3. Swaziland
4. Lesotho
5. Equatorial Guinea
6. Congo
7. Cape Verde
8. South Sudan.
In which category boss?
 
Back
Top Bottom