List of African Countries with Hardest Working and Laziest People

si ndio maana hata maandamano ya mangekimambi yalishindikana.Aisee tulim disappoint sana bibi dada wa taifa aisee.but Mungu yu pamoja nasi najua kuna kitu kizuri anachotuandalia kinakuja na watawala hawatoamini kamwe maana mimi binafsi naiona ccm mpya na Tanzania mpya
 
Tanzania inalisha nchi zote zinazoizunguka pamoja na kujilisha yenyewe bila kuingiza chakula kutoka nje

Kuna nchi hazina uwezo wa kujilisha zenyewe

Hapo hapo Tanzania inaongoza Africa kwa kulima mazao karibu yote ya biashara sasa hapo sijui watanzania wanakuaje wavivu
 
Alafu tumenunua ndege 8 within 4 yrs kwa pesa za walipa kodi alafu wanadai sisi laziest. Mbwa kabisa hawa.
Wakati wanasema sisi wavivu kwa chakula wanatutegemea, hawa jirani zetu sijui nani kawaloga
 
Why not? Kenya ikipata tatizo mbona sehemu ya haraka kupata msaada ni Tz?
Hakuna msaada tushawahipata kutoka kwenu wala Albino nyie.Who want to associate with demonic cannibals
 
Mleta uzi amepewa za uso balaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo alipo ana hali mbaya sana right now πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Stress za ajira kusimama, failed Sgr, sgr isiyoenda popote, mikebe ya changaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ stress lazima ziwepo.
 
WHAT IS THE PROBLEM WITH THESE PEOPLE....HAPA KAZI TU.hizo rank wajiliwaze nazo tu.😎😎😎
 
Halafu Burundi kaka yao mdogo amewafuata nyuma kwa uzembe, wote maskini, duh.
 
Hakuna msaada tushawahikupata kutoka kwenu wala Albino nyie.Who want to associate with demonic cannibals
Karibu JF. Endelea kuweka bundle na uwakaribishe wakenya wengine humu nao waweke bundle.
 
Kuchukia wakenya ni shidako, hainihusu hata kidogo na pia haitanikosesha usingi leo. But the truth remains that you have been screwed in the deal.
 

 
In which category boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…