List of African Countries with Hardest Working and Laziest People

Wakenya wanakodisha wake zao kwa wazungu kutokana na hali mbaya ya maisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mmoja kakodisha mke wake kwa Mzungu mke akaona nani arudi tena kenya... Akaona bora anganganie kwa mzungu.
 
Alafu tumenunua ndege 8 within 4 yrs kwa pesa za walipa kodi alafu wanadai sisi laziest. Mbwa kabisa hawa.
See how stupid you are, nani kakuambia eti kununua ndege inashow your hardworking
 
Kwa sababu mna ardhi yenye rutuba hata mkimwaga mahindi na mkose kuyapalilia mtavuna tu. Kinachohuzunisha ni wale watoto wanaokula kinyesi huku mkijigamba mna chakula kingi na wengine kuchinja watoto wao ili watajirike. Huu ni uzembe
 
Wakenya wanawaita watanzania lazy lakini wamejazana manyara kununua mahindi tena wanayachukua usikuusiku ili mamlaka isiwakamate na vitunguu saumu, Sasa hapo lazy ni Nani, anayeshindwa kulima kwake mpaka anaenda kuhemea au yule anayelima?
 
Mti wenye matunda hupigwa mawe ya kutosha tu
 
It shows you are buying one just because others have it
Donchu think its because we need them and we have funds bcoz we're hard workers. Au mnataka kq ipige routes za mikoa ya Tz.
Jamani sometimes just hide your ignorance mazee, duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…