Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini tanzani..matokeo ya uchunguzi wao, KAKAA DAH MIMI NAPITA TUU
Nadhani hujui usemacho, umebaki na mawazo ya kihafidhina tu.Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania.. kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm
Badilisha heading iwe: list ya vyuo vichovuKwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm
Massachusetts Institute of Technology (MIT) ni University? au neno University linakuzuzua?Hivi IFM ni university? What I know ni Institute kama TIA, IAA, a few to mention. This disqualifies and rules the whole work as null and void
kwahiyo udom waendelee tu kujiuza
kwahiyo udom waendelee tu kujiuza
. Udom c Wanajiuza pale mabibo hostel!!udom wanauza nini??