List of prestige universities in tanzania.

Status
Not open for further replies.
kama hujui hata kuandika ntakuaminine?? kwani nlichoanya ni nin? si nimleuliza swali jamani au nyie ndo wale wale wahanga na msiojiamini na sehem usomayo? mdogo wangu yuko pale mwaka wa pili sasa na computer science anayosoma hakuna biashara,labda kama elective! IFM computer science ipo ila si ya hivyo ulivyosema...

absolutely!! Huyu jamaa kavamia jF akijua ni fB!! He/She knows not that he/she knows not!! A tongue twister! Ha ha ha ha!
 
Ukilaza wa Mulugo hadi TCU umewakumba! Loan board jina lao linasadifu. La TCU halisadifu. Higher Education ila hawa wapuuzi TCU, the acronymy has U which stands for University! Still they admit those who do not join these Universities!
 
Tanzania (Zenj inclusive) has over 60 higher learning institutes but very few universities. Recently, in Dodoma, HE Kikwete said 33! I doubt the figure
 
Mbona kwenye TOP universities in the world MIST ipo!! ebu nisaidie hapo ndugu yangu.

MIST ya Mbeya? Kama ni hiyo wameongeza specialities na sasa wanajiita MUST! Nadhani unaiona hii, from Institute to University. Na kasiasa kamo bado hawajafuzu kuwa University
 
Ukilaza wa Mulugo hadi TCU umewakumba! Loan board jina lao linasadifu. La TCU halisadifu. Higher Education ila hawa wapuuzi TCU, the acronymy has U which stands for University! Still they admit those who do not join these Universities!

Tanzania (Zenj inclusive) has over 60 higher learning institutes but very few universities. Recently, in Dodoma, HE Kikwete said 33! I doubt the figure

Nasubiria jibu mkuu.. swali liko kwenye post #42
 
MIST ya Mbeya? Kama ni hiyo wameongeza specialities na sasa wanajiita MUST! Nadhani unaiona hii, from Institute to University. Na kasiasa kamo bado hawajafuzu kuwa University

Nilikua nimekosea kidogo, i mean MIT.
 
Mbona kwenye TOP universities in the world Massachusett Institute of Technology (MIT) ipo!! ebu nisaidie hapo ndugu yangu.

hii ina specialities na Graduating school. Hawakubadili jina wakati wa ku advance, kama ndugu zetu wa MUST Mbeya
 
absolutely!! Huyu jamaa kavamia jF akijua ni fB!! He/She knows not that he/she knows not!! A tongue twister! Ha ha ha ha!

hayo matusi sasa sio kila anayekosea ni kilaza vidole vyateleza ol in ol umesoma udsm nimesoma ifm wote.tunapata degree au sio..... kingine huyo aliyekwambia yuko comptr science muulize mwaka wa kwanza alisoma nini kama hakusoma masomo yafuatayo alikua kwenye ifm yake..
programing
business information system
bussiness mathematics
database development
na mengine kibaooooo halaa tofautisha computer engineering na computer science mnahtaj maombezi msiwe mnabisha vitu ambavyo hamju.mbn mmeulizwa kwanini.Massachuttes institute of technology kiko kwenye world s best universities mkakosa jibu
 
ha ha ha! Kaka sina matatizo na wewe wala approach yako, but the other guy! Sijasomea UDSM. Take trouble ucheki hata dictionary ndugu. Makosa ya watu yakiwa echoed yaweza kudhaniwa kweli! Think of TCU! Maprof na ma drs wako pale lakini hawajabadili jina.
 
degree siku hizi si kitu cha kujivunia saaana..na ukiisha kua nayo haijalishi umeipata wapi ama ktk chuo gani
swala ni B.A,B.com,B.B.A e.t.c la msingi ni taaluma yako binafsi ama uwezo binafsi kwa degree uloipata na muhimu zaidi ni maisha baada ya degree....angalia sisi wa standard seven tusije kukuajiri kijana...chacharika achana na kugeneralize mambo.
Alafu bongo vyuo vyote sawa tu kwani huko mtaani utendaji wao almost ni uleule...pia jiulize..chuo chako ni bora..je wewe ni bora kiasi gani?
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm

huyu kijana ni kichwa cha mwenda wazimu,hv unapata wapi mda kuandika uzushi,unafiki, ushenz na ujinga huu kama kweli udsm yako ni prestage? Yaani unatoa habari kama mtoto mdogo bila hata reasons na evidence ? Ndo hvyo unafundishwa udsm kwenye comm.skills? Perry ww ni kilaza sana,unadanganya umma ? Unajua maana ya uchunguz? Kampuni gani arusha? Inaonekana hata lectures unatoroka coz kila siku nakuona hapa na makelele yako ya mabishano ya vyuo.JAMAN KWA KUWA AMETUDHIHIRISHIA KUWA YEYE NI BOMU BASI MSIUMIZE AKILI KUMJIBU PALE ATAKAPO ANDIKA MAANDAZ YAKE.
 
hayo matusi sasa sio kila anayekosea ni kilaza vidole vyateleza ol in ol umesoma udsm nimesoma ifm wote.tunapata degree au sio..... kingine huyo aliyekwambia yuko comptr science muulize mwaka wa kwanza alisoma nini kama hakusoma masomo yafuatayo alikua kwenye ifm yake..
programing
business information system
bussiness mathematics
database development
na mengine kibaooooo halaa tofautisha computer engineering na computer science mnahtaj maombezi msiwe mnabisha vitu ambavyo hamju.mbn mmeulizwa kwanini.Massachuttes institute of technology kiko kwenye world s best universities mkakosa jibu
mkuu mbona povu jingi...kwanini unabishana na ukweli? computer science ni computer science tu! huwezi fananisha na biashara kwani hiyoni science na sio biashara! labda kama mnafanya kifishara zaidi mnaamua ulazimisha biashara kuwa science kwakuchakachua!
hii ina specialities na Graduating school. Hawakubadili jina wakati wa ku advance, kama ndugu zetu wa MUST Mbeya
naukweliutabaki pale pale IFM ina mchango sana katika maendeleo ya nchi lakini hii ni taasisi kama taasisi nyingine mfano taasisi ya kuzuia rushwa,taasisi ya elimu tanzania na nyinginezo..
 
achani mawazo mgando wewe amesema zinazotoa degree. hapo ina maanisha taasisi na vyuo vyote vya elimu ya juu vinahusika na we angalia kwenye top university in the world utakutana na institute kibao za ulaya na marekani ndo utajua sio kila kituu unabisha tu ilimradi na wewe upate kukomenti thread.

Senior kabla hujajikweza kwa kumponda mwenzio, hebu soma title ya thread hii "list of prestige universties in tanzania" hebu tujiulize IFM ni university???

Issue hapa si kutoa bachelor degee, master au PhD, issue ni university.

All in all naliona tatizo liko kwa mleta uzi ambaye nina wasiwasi na uelewa wake na hata elimu yake hasa pale anapolazimisha interest zake kuwa utafiti. Sijui ndio mambo ya kizazi kipya.
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na moja ya NGO inayojihusisha na masuala ya utafiti wa masuala ya elimu,yenye makao yake makuu mjini arusha- tanzania..matokeo ya uchunguzi wao yamebaini kwamba,ingawa tanzania ina utitiri wa vyuo vikuu lakin ni 6 tu ndo vyenye kutoa degree zenye kukubalika ndani na nje ya nchi..list yenyewe ni hii
1}UDSM
2}SUA
3}Muhimbili
4}mzumbe
5}ardhi
6}ifm
1.kwa maneno mengine vyuo vya public ndo vnatoa quality education???kwa maana ndo vipo kwenye list hapo.
2. tunaomba source ya information yao..
 
LORDVIL naukweliutabaki pale pale IFM ina mchango sana katika maendeleo ya nchi lakini hii ni taasisi kama taasisi nyingine mfano taasisi ya kuzuia rushwa said:
Mchango wa taasisi siku zote ni zaidi ya Universities
 
Senior kabla hujajikweza kwa kumponda mwenzio, hebu soma title ya thread hii "list of prestige universties in tanzania" hebu tujiulize IFM ni university???

Issue hapa si kutoa bachelor degee, master au PhD, issue ni university.

All in all naliona tatizo liko kwa mleta uzi ambaye nina wasiwasi na uelewa wake na hata elimu yake hasa pale anapolazimisha interest zake kuwa utafiti. Sijui ndio mambo ya kizazi kipya.

kudos mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom