MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 259
Hv udom kuna >>>mabibo hostel?Watu wengne bhana!?Kama hujui ukisemacho kaa kimya!@jawasonjawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi IFM ni university? What I know ni Institute kama TIA, IAA, a few to mention. This disqualifies and rules the whole work as null and void
choko lah We....!
. Udom c Wanajiuza pale mabibo hostel!!
sijaelewa hapa...ina maana comptuter science na IT ya IFM unazisemeaje?? maana unasema wanabase kwenye biashara!!! embu nieleweshe tafadhali...nawasiwasi utakua uliishia darasa la saba ama ana ilitokea ajali ukajikuta jf vinginevyo ungekua ushajua institute maana yake nini au.hujawah kusikia hata.massachutes institute of technology? 1st technoligical institute in the world wanatoa degrees masters na phds. FYI institutes huwaga wanamajor kwenye kitu hicho hicho kama ilivyo massachuttes kwenye technology ndivyo ilivyo ifm kwenye biashara alaaa usiaibishe wasomi mi naina kuna aja ya kuanzisha jukwaa la.marekebisho ili watu kama nyie muwe mnauliza ushauri pale kwanza ndo mnakuja kupost.huku
Hivi IFM ni university? What I know ni Institute kama TIA, IAA, a few to mention. This disqualifies and rules the whole work as null and void
NGO gani isiyo na jina? Utafiti umekuwa published wapi? Wametumia methodology gani?
Kwa nini tuamini unachoandika wakati unaonekana hujui tofauti ya "prestige" na "prestigious"?
sijaelewa hapa...ina maana comptuter science na IT ya IFM unazisemeaje?? maana unasema wanabase kwenye biashara!!! embu nieleweshe tafadhali...
sijaelewa hapa...ina maana comptuter science na IT ya IFM unazisemeaje?? maana unasema wanabase kwenye biashara!!! embu nieleweshe tafadhali...
nawasiwasi utakua uliishia darasa la saba ama ana ilitokea ajali ukajikuta jf vinginevyo ungekua ushajua institute maana yake nini au.hujawah kusikia hata.massachutes institute of technology? 1st technoligical institute in the world wanatoa degrees masters na phds. FYI institutes huwaga wanamajor kwenye kitu hicho hicho kama ilivyo massachuttes kwenye technology ndivyo ilivyo ifm kwenye biashara alaaa usiaibishe wasomi mi naina kuna aja ya kuanzisha jukwaa la.marekebisho ili watu kama nyie muwe mnauliza ushauri pale kwanza ndo mnakuja kupost.huku
achani mawazo mgando wewe amesema zinazotoa degree. hapo ina maanisha taasisi na vyuo vyote vya elimu ya juu vinahusika na we angalia kwenye top university in the world utakutana na institute kibao za ulaya na marekani ndo utajua sio kila kituu unabisha tu ilimradi na wewe upate kukomenti thread.
kwani it au computer science hazihelp kwenye biashara ? mimi nimesoma it unajua masomo nayofundishwa? uwe unauliza kwanza men.sio wote wanaosoma it na vomputer science wanahusika na kutengeneza computer wengi wanasoma application zinazo aid ku run the bussiness.
kama hujui hata kuandika ntakuaminine?? kwani nlichoanya ni nin? si nimleuliza swali jamani au nyie ndo wale wale wahanga na msiojiamini na sehem usomayo? mdogo wangu yuko pale mwaka wa pili sasa na computer science anayosoma hakuna biashara,labda kama elective! IFM computer science ipo ila si ya hivyo ulivyosema...kwani it au computer science hazihelp kwenye biashara ? mimi nimesoma it unajua masomo nayofundishwa? uwe unauliza kwanza men.sio wote wanaosoma it na vomputer science wanahusika na kutengeneza computer wengi wanasoma application zinazo aid ku run the bussiness.
Tabular rassa wewe! Kwa hiyo Institute ni University? Academically, I was born with a silver spoon on my mouth! 1kB brainned
Tofauti ipo kwenye specialization tu, mwisho wa siku wote ni wanachuo.