List of prestige universities in tanzania.

Status
Not open for further replies.
Hv udom kuna >>>mabibo hostel?Watu wengne bhana!?Kama hujui ukisemacho kaa kimya!@jawasonjawa!
 
Hivi IFM ni university? What I know ni Institute kama TIA, IAA, a few to mention. This disqualifies and rules the whole work as null and void

nawasiwasi utakua uliishia darasa la saba ama ana ilitokea ajali ukajikuta jf vinginevyo ungekua ushajua institute maana yake nini au.hujawah kusikia hata.massachutes institute of technology? 1st technoligical institute in the world wanatoa degrees masters na phds. FYI institutes huwaga wanamajor kwenye kitu hicho hicho kama ilivyo massachuttes kwenye technology ndivyo ilivyo ifm kwenye biashara alaaa usiaibishe wasomi mi naina kuna aja ya kuanzisha jukwaa la.marekebisho ili watu kama nyie muwe mnauliza ushauri pale kwanza ndo mnakuja kupost.huku
 
hiyo NGO inaitwaje, wameiconduct hiyo research lini, wametumia vigezo gani, methodology na watoe na mifano sehem digree ya chuo ambacho hajakitaja ilikataliwa
 
nawasiwasi utakua uliishia darasa la saba ama ana ilitokea ajali ukajikuta jf vinginevyo ungekua ushajua institute maana yake nini au.hujawah kusikia hata.massachutes institute of technology? 1st technoligical institute in the world wanatoa degrees masters na phds. FYI institutes huwaga wanamajor kwenye kitu hicho hicho kama ilivyo massachuttes kwenye technology ndivyo ilivyo ifm kwenye biashara alaaa usiaibishe wasomi mi naina kuna aja ya kuanzisha jukwaa la.marekebisho ili watu kama nyie muwe mnauliza ushauri pale kwanza ndo mnakuja kupost.huku
sijaelewa hapa...ina maana comptuter science na IT ya IFM unazisemeaje?? maana unasema wanabase kwenye biashara!!! embu nieleweshe tafadhali...
 
Hivi IFM ni university? What I know ni Institute kama TIA, IAA, a few to mention. This disqualifies and rules the whole work as null and void

achani mawazo mgando wewe amesema zinazotoa degree. hapo ina maanisha taasisi na vyuo vyote vya elimu ya juu vinahusika na we angalia kwenye top university in the world utakutana na institute kibao za ulaya na marekani ndo utajua sio kila kituu unabisha tu ilimradi na wewe upate kukomenti thread.
 
NGO gani isiyo na jina? Utafiti umekuwa published wapi? Wametumia methodology gani?

Kwa nini tuamini unachoandika wakati unaonekana hujui tofauti ya "prestige" na "prestigious"?

Mkuu Kiranga, Naomba umsamehe bure huyu bwana Perry kwani ni kijana wa first year UD na "anachukua degree" ya (BA) Economics ayo mambo mengine utamchanganya sana na kushindwa kufanya assignments zake za darasani.
 
Last edited by a moderator:
sijaelewa hapa...ina maana comptuter science na IT ya IFM unazisemeaje?? maana unasema wanabase kwenye biashara!!! embu nieleweshe tafadhali...

wako kwenye mchakato wakuziondoa hapo chuoni hizo course (IT + CS) pamoja na Tax, lakini swala la IT ni basic kwa taasisi mbalimbali kwa dunia ya leo
 
sijaelewa hapa...ina maana comptuter science na IT ya IFM unazisemeaje?? maana unasema wanabase kwenye biashara!!! embu nieleweshe tafadhali...

kwani it au computer science hazihelp kwenye biashara ? mimi nimesoma it unajua masomo nayofundishwa? uwe unauliza kwanza men.sio wote wanaosoma it na vomputer science wanahusika na kutengeneza computer wengi wanasoma application zinazo aid ku run the bussiness.
 
nawasiwasi utakua uliishia darasa la saba ama ana ilitokea ajali ukajikuta jf vinginevyo ungekua ushajua institute maana yake nini au.hujawah kusikia hata.massachutes institute of technology? 1st technoligical institute in the world wanatoa degrees masters na phds. FYI institutes huwaga wanamajor kwenye kitu hicho hicho kama ilivyo massachuttes kwenye technology ndivyo ilivyo ifm kwenye biashara alaaa usiaibishe wasomi mi naina kuna aja ya kuanzisha jukwaa la.marekebisho ili watu kama nyie muwe mnauliza ushauri pale kwanza ndo mnakuja kupost.huku

Tabular rassa wewe! Kwa hiyo Institute ni University? Academically, I was born with a silver spoon on my mouth! 1kB brainned
 
achani mawazo mgando wewe amesema zinazotoa degree. hapo ina maanisha taasisi na vyuo vyote vya elimu ya juu vinahusika na we angalia kwenye top university in the world utakutana na institute kibao za ulaya na marekani ndo utajua sio kila kituu unabisha tu ilimradi na wewe upate kukomenti thread.

1. Soma heading
2. Kwa hiyo Institute ni University?
3. Soma dictionary
 
kwani it au computer science hazihelp kwenye biashara ? mimi nimesoma it unajua masomo nayofundishwa? uwe unauliza kwanza men.sio wote wanaosoma it na vomputer science wanahusika na kutengeneza computer wengi wanasoma application zinazo aid ku run the bussiness.

hiyo imo ndani ya units! Mfano watu wa Uhasibu husoma ICT na siyo Computer Science. Kama ulivyosoma Computer peke yake, hujui biashara hata kidogo
 
kwani it au computer science hazihelp kwenye biashara ? mimi nimesoma it unajua masomo nayofundishwa? uwe unauliza kwanza men.sio wote wanaosoma it na vomputer science wanahusika na kutengeneza computer wengi wanasoma application zinazo aid ku run the bussiness.
kama hujui hata kuandika ntakuaminine?? kwani nlichoanya ni nin? si nimleuliza swali jamani au nyie ndo wale wale wahanga na msiojiamini na sehem usomayo? mdogo wangu yuko pale mwaka wa pili sasa na computer science anayosoma hakuna biashara,labda kama elective! IFM computer science ipo ila si ya hivyo ulivyosema...
 
Tabular rassa wewe! Kwa hiyo Institute ni University? Academically, I was born with a silver spoon on my mouth! 1kB brainned

Tofauti ipo kwenye specialization tu, mwisho wa siku wote ni wanachuo.
 
Tunapoajiri huwa tunafanyisha interviews na kuajiri watu, siyo vyuo.
 
dreson 3, the senior, All Universities are institutes, but NOT all institutes are universities. In order for an institute to be recognized as a University it must meet two important criteria:
1. It must have different specialities
i.e. Different colleges
2. It must have at least one graduating school.
UDSM has College of Eng (on its own it stands as an institute), DUCE, etc
Law School is a graduating school. Can you two show me the two main qualities, taking any of the famously known institutes as a case study? Visheta
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom