List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Kama EL anafuata yafuatayo basi kweli ni mkristo lakini kama hayafuati haya hapa chini si mkristo afadhali waendelee tu waislamu milele

"If you belong to Jesus Christ you will live like Him. If your lifestyle does not conform to His likeness you do not belong to Him, regardless of what you may profess.

1. If you do not have the Spirit of Christ, the Holy Spirit, you are not a Christian.

2. If you have the Spirit of Christ you are a Christian.

3. If you have the Spirit of Christ in your life you will be under the control of the Holy Spirit and your behavior will give evidence of this great fact.

4. If your life is controlled by the "flesh" or "sinful nature" you are not a Christian and your behavior will demonstrate that fact"

Hatuukumu mtu bali ukristo wa jina ni hatari sana
 

Kwa maelezo yako hayo Edward Lowasa Si "MKRISTO"
 
Kwa maelezo yako hayo Edward Lowasa Si "MKRISTO"

Mh Mwawado!

Si kila mtu avaaye gwanda la kijani ni mwana-CCM!

Katiba ya CCM na imani yake iliyoko ndani ni kama msahafu.

Nikipepesa macho sioni kiongozi yeyote ndani ya CCM anayeishi kulingana na Imani ya CCM!

Naona watu waliovaa mashati ya kijani tu!!

Sawasawa na makasisi wa kikatoliki wa Boston na California wanaobaka watoto!!

Tunahitaji Clean-up ya nguvu ndani ya Chama ili tuweze kuimba kama zamani..."Chama chetu cha Mapinduzi chajenga nchi!"

Sasa hivi siwezi kuitikia pambio hilo.. hata waseme Kikwete aaaah Lowassa wajenga nchi... Karume aaah malecela wajenga nchi!!".. maana itakuwa ni kujidanganya nafsi!
 
Mbona hayo majina ya vigogo hao hayatajwi hata humu? Ni yale 11 tu yaliyotokea kwenye gazeti "lao" kwa bahati mbaya na kufichwa mara. je chifu wa tlp aliwasema kina nani?

macinkus
 
Sidhani kama nilisema tuangalie tujue yupi ni dini gani na yupi si dini gani. Nilichosema ni kuangalia dini zao, ili ujue kuwa mchezo mchafu wa dini upo.However ni kawaida sana kwa majina kama Omar abdalah Hussein kuwa waislamu, na Majina kama Edward Joseph Michael kuwa wakristo, lakini kuna exception..........
 
KAMA KUNA WAKATI AMBAO TANZANIA IMEKUWA NA SIMANZI KULIKO WAKATI WOWOTE ULE NI HII YA WIZI WA MAPESA YA WANANCHI. sasa sio wakati huu tujiulize kuna ushahidi na hali tunajua kuwa pesa zinaibiwa. kinachotakiwa ni kujiuliza tufanye nini kama wananchi wasiokuwa serikalini ili wahusika wawajibike na jambo kama hili lisitokee tena.

na ninashauri kupitia JF tuandae mikakati ya kutoa elimu kwa ndugu na marafiki zetu ili wajue ni kwa namna gani nchi inaibiwa. watu wengine ukimwambia hili bila maelezo hataelewa na wakati wa kupiga kula anasahau kila kitu sababu hakuelezwa kinagaubaga.

Kwa mwanaJF aliyemakini ni matarajio yangu kuwa tayari tunapata mawazo ya kuwaeleza kutokana na hoja ambazo zimekuwa zikitolewa hapa.

TUTAWASHTAKI KWA VICARIOUS LIABILITY KWAMBA HATA KAMA HAWAKUHUSIKA MOJAKWA MOJA, ILA KOSA LINALOFANYWA NA MTU ALIYOKO CHINI YAKO, LINAKUHUSISHA NA WEWE, KWA SABABU ULIKUWA NA UWEZO WA KUMWAJIRI, KUMFUKUZA KAZI, KUMKATA MSHAHARA AU KUMFANYA AFANYE KWA UTARATIBU UNAOUJUA WEWE.
 
Nitayaweka mahojiano yangu na Dr. Slaa kesho ili wale ambao hawakupata nafasi ya kumsikiliza Live na wenyewe wapate kusikia alichokisema hasa.
 
Watu kama Mchambuzi naona kama vile wanamtindio wa ubongo.Hivi CCm hao unaowasifia na kusema wana sera wametufikisha wapi? Au sera zao ni kuwa Majambazi na kufilisi maliasili za Tanzania maana ndo wanachotekeleza sasa!!

Mie nawahakikishieni kama mmeshindwa kusola alama za nyakati na kuwa realistic basi mtakula wa chuya. Watanzania wa leo sio wa jana.Nyie subirini tu mtaona 2010.

Kila Mtanzania (isipokuwa wachache kama wewe walio kwenye payroll ya Chama Cha Majambazi) wanaelewa kuwa CCM ni shombo tu inayosubiri kutupwa.Jipeni moyo ila Kansa mnayo na sasa iko katika hatua mbaya,muda ukifika,mpende msipende mtatoka.
 
Mwafrika wa kike, kuna watu humu wanachefua, Mchambuzi na Kilitime, na si kwamba hawajui ila wanafanya hivyo makusudi ili ku-divert effort ya kujadili issue ya msingi. Dawa ya watu wa namna hii kwa kuwa umeshawapa vidonge vyao nim kuwaacha.
 

Lazima nikubaliane nawe kwa hili, bahati mbaya nimeiona hii hoja yako kwa kuchelewa. Hawa jamaa ni wamoja katika mambo yao. Yaani kumsuta Lowasa na kumuacha JK ni sawa na kujaribu kusafisha mkono wa kushoto na kuuacha wa kulia, bado utabaki kuwa mchafu tu. Kama tunachukia uchafu wa Lowasa, ambao ni mkono wa kushoto, lazima tusafishe na mkono wa kulia vilevile, ambao ndio huyo JK. Kama ni udhaifu hawa wanajuana vizuri sana kuliko sisi tunavyoweza kuwajadili hapa. Kama ni ufisadi, JK aliujua na anaujua ufisadi wa Lowasa kuliko mtu yeyote hapa kwenye hii forum, lakini bado alimteua kuwa PM yake na anaendelea na kazi na huku wakicheka vizuri sana.
 
Ukweli wa mambo yule aliyesema mahali fulani kwenye maandiko matakatifu kuwa "mkono wako ukikukosesha ukate na jicho lako likikukosesha ling'oe kwani ni heri mtu kuingia uzimani ukiwa ni kilema kuliko kwenda motoni ukiwa ni mzima!" Sasa, kuna wakati mtu inabidi ukate na kung'a vile vinavyokukosesha.

Tanzania yenye neema kwa kila Mtanzania haiwezekani isipokuwa kwanza kabisa kung'olewa kwa vile vyote vinavyotu"kosesha". Ni kweli kuwa itauma kung'olewa na kunyofolewa kwa viungo hivyo lakini bora tuingie kwenye Tanzania yenye neema bila wao.. kuliko kuishi kwa kuhema hema na wao wakiwa kwenye usukani.
 
Top Level embezzlement claims:

Marmo fault opposition stance
KILASA MTAMBALIKE
Daily News; Tuesday,September 18, 2007 @00:02

THE government has expressed surprise that the opposition had information about officials involved in serious crime but did not report the matter to law enforcement organs.

The Minister of State in the President's Office (Good Governance), Mr Philip Marmo, said yesterday that conventional wisdom would not allow a person to use such allegations for political gains during a public rally.

"Judging people in a public rally without even having heard the other party's side of the story is not prudent. We have state organs that have the mandate to work on such matters, they should have reported the matter to the same", he said.

Mr Marmo said that the allegations by the opposition were very serious and naturally would have serious consequences and that it was not prudent for them to air them in public without giving the accused the opportunity of defending themselves.

"We have laws that allow people to lodge reports or allegations against any other citizen, we would have expected that that would have been the case instead of a public rally", he said. Mr Marmo also said that the government has its mechanism of working on allegations of malpractices, citing the ongoing audit of the Bank of Tanzania External Payment Account (BoT-EPA) that had been ordered by the government following allegations of abuse.

The opposition had on Saturday during a rally in Temeke district in Dar es Salaam alleged that five Cabinet ministers, two permanent secretaries, a former president and some top BoT officials were behind the embezzlement of some 1.3tr/- of taxpayers' money.

The allegations by the opposition further said that the money was embezzled in the past seven years through five different projects and that two prominent businessmen were used as agents or conduits to stash away public funds for the said projects.
 
Ok, I have a very simple question? What is new with what Dr.Slaa said on Saturday? Pretty much everything he said is common knowledge anyway...and mark my words...you won't see s#!% done about it....
 

http://dailynews-tsn.com/habarileo/page.php?id=4047

 
Siku ya Jumamosi nilipata nafasi ya kuzungumza "live" na Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Karatu Mhe. Dr. W. Slaa kuhusu mkutano wa muungano wa wapinzani uliofanyika siku ile. Yafuatayo ni sehemu ya kwanza ya mahojiano yangu na Dr. Slaa kufuatia mkutano wa wapinzani uliofanyika siku ya Jumamosi jijini Dar. Katika mkutano huo wapinzani waliwataja wale waliowatuhumu kuhusika na ubadhirifu na walioshiriki kwa namna moja au nyingi katika kuliingiza au kulipatia taifa hasara. Natarajia kabla ya mwisho wa wiki kupata nafasi ya kuzungumza na Tundu Lissu na Bw. Mrema.

Bonyeza Hapa Kumsikia Dr. Slaa
 
hebu soma,


kisha daily news wanasema



au kuna masahihisho yametolewa? nauliza tu
 
Mwanakijiji,
Kikwete,Lowassa,Karamagi,Chenge,Mramba...labda wanamaanisha hao kwasababu ni wajumbe wa baraza la mawaziri.

nimeshangaa mjini hapa magazeti yote kimyaaa. kweli waandishi wamenunuliwa!!

NB:
sasa hiyo timu ya rushwa ndiyo ingeitwa JK eleven. naona mlinda mlango ni Daudi Balali. EL na JK ni winga 7 na 11, kazi yao kumnyunyuzia majaro center forward Karamagi.
 
JokaKuu ndivyo nilivyoelewa nilitaka ndugu yetu Kafara hapo juu aelewe kwanini "kikwete" hakutajwa kwenye article ya Daily News.. ambapo inatajwa tu "Five Cabinet ministers" na "one former President"..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…