Jakaya Kikwete ndiye mwanasiasa mlaghai namba moja Tanzania! By the way, yale maisha bora aliyoahidi kwa kila mtanzania yako wapi?Hivi kuna mwanasiasa muongo na mlaghai kama Dr.Slaa?
Zitto amesema atataja majina ya watu wenye akaunti Uswis, sasa ajenda ya pale Ufipa leo ni kutafuta kila linalowezekana kuonesha kuwa hata babu yao aliwahi kuwika hapo zamani.Ungeweka na maana ya hiki ulichopost
Zitto amesema atataja majina ya watu wenye akaunti Uswis, sasa ajenda ya pale Ufipa leo ni kutafuta kila linalowezekana kuonesha kuwa hata babu yao aliwahi kuwika hapo zamani.
Unajua hii list ya majina ya watu wenye akaunti Uswisi Dr.Slaa alikuwa anataka apewe yeye Zitto akakataa, bifu likaanzia hapo.Zitto amesema atataja majina ya watu wenye akaunti Uswis, sasa ajenda ya pale Ufipa leo ni kutafuta kila linalowezekana kuonesha kuwa hata babu yao aliwahi kuwika hapo zamani.
Zitto amesema atataja majina ya watu wenye akaunti Uswis, sasa ajenda ya pale Ufipa leo ni kutafuta kila linalowezekana kuonesha kuwa hata babu yao aliwahi kuwika hapo zamani.
Yaan tokea wasikie Zitto atasimama pale Mwembeyanga wanaweweseka kweli, mara watatoa mkanda wa bomu la Arusha mara hili ili mradi tu kutaka kumficha Zitto.Unajua hii list ya majina ya watu wenye akaunti Uswisi Dr.Slaa alikuwa anataka apewe yeye Zitto akakataa, bifu likaanzia hapo.
Ndio maana yake! Huyo kibaraka wenu anaejitutumua kutafuta kick huko Mwembe Yanga ajue hana jipya; walishatangulia wengine huko miaka mingi. Eti kuwataja walioficha fedha Uswisi; pambafu mkubwa.