List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

kaka labda tafsiri ya ushujaa kwako iko tofauti!!!
 
Kweli kabisa hata upepo wake 2010 ndio umeimarisha upinzani. Mungu amlinde tegemeo letu halisi.
 
Hivi kuna mwanasiasa muongo na mlaghai kama Dr.Slaa?
Jakaya Kikwete ndiye mwanasiasa mlaghai namba moja Tanzania! By the way, yale maisha bora aliyoahidi kwa kila mtanzania yako wapi?
 
Dr. W.P. Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA, mwaka 2007 aliwataja wafuatao kuwa ni Mafisadi wa Tanzania. Ilikuwa kwenye Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke-Dar es Salaam. Hawa ndio laana ya Tanzania na ndio wanaokula nchi. Dr. Slaa alitaja majina na muktasari wa ufisadi wa kila mmoja. Baada ya kutajwa kwenye Orodha hiyo ya Mafisadi, kila mmoja alitishia kumburuza Mahakamani Dr. Slaa kwa kumchafua.

Hadi leo tarehe 2/7/2015, hakuna hata mmoja aliyethubutu kwenda Mahakamani. Katika Orodha hiyo ya aibu, yupo marehemu mmoja;wapo walio na kesi mahakamani;yupo Rais Mstaafu; wako 'Mapacha Watatu' wa CCM waliotishiwa kuvuliwa gamba; yupo msaka Urais na hata Rais. Majina yao tu yanasadifu uwepo wa hapo.

Watajwa hawa:

1. Dr. Daudi T.S. Balali

2. Gray Mgonja

3. Basil P. Mramba

4. Patrick W.R. Rutabanzibwa

5. Nimrod E. Mkono

6. Benjamin W. Mkapa

7. Andrew J. Chenge

8. Edward N. Lowassa

9. Rostam Aziz

10.Nazir Karamagi

11. JMK

Ni walewale wanatamani kilekile!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Hongera sana Dr Slaa kwa kuwataja, nadhani hii imesaidia sana ujenzi wa barabara vijijini, kupeleka maji, umeme na huduma muhimu. Hii ya kutaja mafisadi ndio iwe sera ya CHADEMA inasaidia sana.
 
Tatizo watanzania hatuna uzalendo,na hatufikirii beyond what we see.....na tunasahau mapema sijui tatizo nini?! MF viongozi wenye tuhuma za ufisadi wanapogombea watu wanafurahia tu na kuwachagua pia,wakisahau kuwa maisha magumu,umaskini,kupotea kwa amani,usalama na Uhuru wa kweli ni chanzo cha viongozi wabovu.




Nashauri watanzania wenzangu kutorudia kosa kwa kuchagua kiongozi asiyefaa maana athari zake zinatuumiza wenyewe,na tusiwe na ushabiki wa vyama Bali mtu tunaepaswa kumchagua awe anaaminika kutetea maslahi ya taifa,tusiangalie rangi, dini,kabila,au chama anachotokea !!
 
Zitto amesema atataja majina ya watu wenye akaunti Uswis, sasa ajenda ya pale Ufipa leo ni kutafuta kila linalowezekana kuonesha kuwa hata babu yao aliwahi kuwika hapo zamani.

Kumbe mko.wengi mnaokunwa hata kama hamuwashwi
 
Zitto amesema atataja majina ya watu wenye akaunti Uswis, sasa ajenda ya pale Ufipa leo ni kutafuta kila linalowezekana kuonesha kuwa hata babu yao aliwahi kuwika hapo zamani.

Ndio maana yake! Huyo kibaraka wenu anaejitutumua kutafuta kick huko Mwembe Yanga ajue hana jipya; walishatangulia wengine huko miaka mingi. Eti kuwataja walioficha fedha Uswisi; pambafu mkubwa.
 
Unajua hii list ya majina ya watu wenye akaunti Uswisi Dr.Slaa alikuwa anataka apewe yeye Zitto akakataa, bifu likaanzia hapo.
Yaan tokea wasikie Zitto atasimama pale Mwembeyanga wanaweweseka kweli, mara watatoa mkanda wa bomu la Arusha mara hili ili mradi tu kutaka kumficha Zitto.
 
Zitto na lowasa lao moja.Mafisadi wako na lowasa wasariti wako na lowasa
 
Ndio maana yake! Huyo kibaraka wenu anaejitutumua kutafuta kick huko Mwembe Yanga ajue hana jipya; walishatangulia wengine huko miaka mingi. Eti kuwataja walioficha fedha Uswisi; pambafu mkubwa.

Poleni sana sasa mnapigana ndani na nje. Yaan mngependa kusimamia hoja ya ufisadi lakini bahati mbaya listi anayo Zitto sasa inabidi mu discredit hiyo list. Kidumu chama cha mapinduzi.
 
Back
Top Bottom