List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Kumpa Urais wa TANZANIA ni sawa na kukabidhi kikundi cha MAFIA benki kuu
 
Huyo Aya..tolla kataja majina ya walioficha pesa uswisi?
 
Last edited by a moderator:
unafiki ni kitu cha hatari sana ! uongo umemgharimu msaliti .
 
Nauliza tu,ZZK kataja majina ya walioficha pesa uswisi?

Real nimekubali unabii wako. Chief Dr Wilbroad Petter Slaa atabaki kuwa hero

ZITTO na mbwembwe zote za kuwataja majina wenye acc nje eti anaogopa mambo ya kisheria sasa anataka wanahabari ndo wakatesekee mahabusu? au wao sheria haiwagusi?

Msaliti ni msaliti tu pale alienda kuthibitiasha usaliti wake na ku~prove kwanini CDM walimfukuza
 
Waliotajwa waende mahakani Dr. Slaa alishatimiza wajibu wake, mafisadi tumeshawajua na hatuwezi kuwapa dhamana ya nchi tena.
 
Watu ni wepesi sana kusahau leo Zitto katoa majina ya walioficha pesa uswizi tena kwa kukabidhi document mnasema sio shujaa wakati juzi tu hapa mlimuita shujaa alipoandaa na kusoma taarifa ya Escrow bungeni.
 
Yaan zitto ameshusha P sana, yani bora asingesema kabisa anataja. Hivi huyu jamaa kabla ya kuongea hafikirii consequences?
 
Ukweli utasimama tu,kama alishindwa kusoma akiwa na kinga ya Bunge,sasa hivi ataweza? Bado mzalendo wa kweli ni Dr slaa pekee,huyu ni mwanasiasa magumashi.
Watu ni wepesi sana kusahau leo Zitto katoa majina ya walioficha pesa uswizi tena kwa kukabidhi document mnasema sio shujaa wakati juzi tu hapa mlimuita shujaa alipoandaa na kusoma taarifa ya Escrow bungeni.
 
Watu ni wepesi sana kusahau leo Zitto katoa majina ya walioficha pesa uswizi tena kwa kukabidhi document mnasema sio shujaa wakati juzi tu hapa mlimuita shujaa alipoandaa na kusoma taarifa ya Escrow bungeni.
Tapeli la kisiasa zitto leo limeumbuka mwanzo mwisho lilikosa confidance kabisa jukwaani anarudi kuuliza akina mwigambba wamsaidia unachukua list unatangazia umma unasema humu majina mengi ni watu wenye biashara halali wanaoweka pesa zao nje wafanyabiashara wakubwa halafu unashindwa kuwa taja kama mafisadi unasema sababu za kisheria huyo kabuli lake la kisiasa linefika atafungwa akafie jela amini usiamini
 
Mzee Tupatupa hebu tupe kilichojiri huko MJENGONI baada ya Mama yangu yule kuweka rekodi ambayo haijawahi kuwekwa toka Tanganyika ipate UHURU.Hivi unapitishaje MISWADA MITATU muhimu kwa siku tano na kwa wabunge wasiozidi robo?Hivi hii nayo ipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM ?Hebu tuambie inaimpact gani kisheria?Maana Mpwa wako ni Bintiyo ni mbumbu sana wa sheria ,mie najua credit na debit tu.
 
Tuambie kafanya nini leo Mmeo pale MwembeYanga ?
 
Hata kama ningekuwa mimi Chenge lazima ningemtaja tu, Chenge ni intersection,common factor,special case kila kashfa ana appear,ulitegemea Chenge akosekane?
Kataja Chenge na jamaa wa SHIVACOM Somaia hao ndo wanyonge
 
Watu ni wepesi sana kusahau leo Zitto katoa majina ya walioficha pesa uswizi tena kwa kukabidhi document mnasema sio shujaa wakati juzi tu hapa mlimuita shujaa alipoandaa na kusoma taarifa ya Escrow bungeni.

Shujaa kusoma taarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…