Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli bangi uliyovuta leo ni kali kuliko maelezo na inaonekana imekuchanganya kweli kweli. Zitto hawaachi mkalala usingizi..... kutwa kucha mnamwaza kuliko mnavyowawaza waume zenu.
na bado atawatesa sana huyo jamaa. kila kukicha lazima mje na tungo kuhusu Zitto. yes! kwa sababu anawafikirishi na sio vinginevyo. mlifikiri mmemzika lakini imekuwa kinyume chake. mlifikiri zitto ni mpaka awe ndani ya chadema lakini mmeprove failure. na bado, huo ni moshi tu moto waja.
Nikukumbushe
Nauliza tu,ZZK kataja majina ya walioficha pesa uswisi?
Nauliza tu,ZZK kataja majina ya walioficha pesa uswisi?
Nauliza tu,ZZK kataja majina ya walioficha pesa uswisi?
Sema mimi namuamini slaa!sio watanzania!ushahidi kaka maneno mengi ya nini!!pia utambue viongoz wako hasa slaa kama anaushahid anaruhusiwa kuupeleka mahakaman na hivyo akawa ametusaidia!mahakama tu ndio inahaki ya kusema km wanatuhuma za kujibu au la...!!akibaki anasema haitusaidii!!
Watu ni wepesi sana kusahau leo Zitto katoa majina ya walioficha pesa uswizi tena kwa kukabidhi document mnasema sio shujaa wakati juzi tu hapa mlimuita shujaa alipoandaa na kusoma taarifa ya Escrow bungeni.
Tapeli la kisiasa zitto leo limeumbuka mwanzo mwisho lilikosa confidance kabisa jukwaani anarudi kuuliza akina mwigambba wamsaidia unachukua list unatangazia umma unasema humu majina mengi ni watu wenye biashara halali wanaoweka pesa zao nje wafanyabiashara wakubwa halafu unashindwa kuwa taja kama mafisadi unasema sababu za kisheria huyo kabuli lake la kisiasa linefika atafungwa akafie jela amini usiaminiWatu ni wepesi sana kusahau leo Zitto katoa majina ya walioficha pesa uswizi tena kwa kukabidhi document mnasema sio shujaa wakati juzi tu hapa mlimuita shujaa alipoandaa na kusoma taarifa ya Escrow bungeni.
Nauliza tu,ZZK kataja majina ya walioficha pesa uswisi?
Kataja wanyonge
Hana ubavu
ha ha haaa kwel mkuu inawezekana definition imebadilika coz n shidaa... yaan jamaa bado anatuaminisha kwa aliyoyafanya babu slaa 2007 ha ha haaa hata lyatonga alifanya makubwa lkn hawez jiita shujaa itakua huyu babu. ZZK is another level sasa subili mwembe yanga
Kataja Chenge na jamaa wa SHIVACOM Somaia hao ndo wanyonge
Watu ni wepesi sana kusahau leo Zitto katoa majina ya walioficha pesa uswizi tena kwa kukabidhi document mnasema sio shujaa wakati juzi tu hapa mlimuita shujaa alipoandaa na kusoma taarifa ya Escrow bungeni.