List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania


Kiri kwamba kuna fisadi mwingine nyangumi aliyekuwa anasimamia mchakato wa kumpata mpeperusha bendera ya Mafisadi wengine 10 waliobaki CCM. Tunataka na wao muwanyoshee kidole kama mnavyomnyooshea EL.
 
Watanzania tunataka mabadiliko, ni ukweli uliowazi hatuwezi kuyapata ccm. Nje ya ccm mabadiliko yatapatikani hilo lipo wazi. Vuguvugu la mabadiliko lilianza na Mrema chadema wakafanya kwa nafasi yao Lowasa ameongeza nguvu na matumaini yakuyapata hayo mabadiliko. Swala la fisadi ni dhana ya kuchafuana ya ccm ambayo haijaanza leo. Mbona hakuvuliwa gamba au kuhojiwa na kamati ya nidhamu. Au kama mbona hakupelekwa mahakamani kama kina mramba. Anatuhuma hilo halipingiki, Magufuli naye anatuhuma. Kipi bora mwenye tuhuma aliyejisalimisha au mtuhumiwa alinayekwenye kundi la wanyang'anyi.
Mabadoliko hatutayapata ccm hata baada ya miaka 100. Wakati umefika tuiondoe Ccm kwa amani na ikubali kutoka
 
Muweka mada hawa uhakika na anachotaka kutuambia jipange ndugu yangu make picha iko wazi kabisa kama umeshindwa kusoma

Mimi muweka mada nina uhakika japo wewe msomaji ndio hujaelewa. Yawezekana ni kutokana na chuki yako kwa EL au mapenzi ya dhati kwa CCM. Ni hakika masikio yako yameziba na umeamua kupata upofu wa ghafla na umeamua kujitoa ufahamu kwa muda ili usijekuelewa kilichoandikwa. Mbona mada inaeleweka? Is it because of zigzags of politics?
 



mkuu mbona wengi tu wapo hata hapa CDM kwetu mmoja wapo ni huyu

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/542854-freeman-mbowe-anamiliki-jumba-la-kifahari-dubai-14.html#post13520864
 

Hello Sir,

Can you paste the full list of shame, especially the portion relating to allegations against Lowassa? We need to perfrorm a thorough legal and moral analysis of the allegations. In the end, we want to fairly judge the current Slaa's stance against Lowassa's defection into UKAWA.

Regards.
 

wewe mtoto wa juzi, hii mada ya 2007. Hawa mafisadi tumewajadili kwa kina humu,na hao kina slaa, lissu mnyika na wengine ambao hata CDM walikuwa hawapo wakati huo..,

kinachofanyika sasa hivi ni kukana vitu vilivyotamkwa miaka 8 nyuma kwa kudhania tumesahau. wanachossahau kuwa kuna records. Kwa hili anayeoneakana muadilifu ni Slaa tu!!waliobaki wote CDM, matumbo yanatoa amri kwa kichwa
 

You said it all na tuendelee kuwakumbusha .. majuzi tu walisemaje acha miaka 8 iliyopita!
 

Attachments

  • 1439715503799.jpg
    70.7 KB · Views: 328

Mkuu hii nyundo yako hapana mchezo na umeishusha utosini mwa mtu...huoni kala kona ha ha ha halafu na sasa wameanza tena mambo za ubaguzi sasa itakuaje na watu wa kanda ya ziwa nao wakiamua??
 
Mkuu hii nyundo yako hapana mchezo na umeishusha utosini mwa mtu...huoni kala kona ha ha ha halafu na sasa wameanza tena mambo za ubaguzi sasa itakuaje na watu wa kanda ya ziwa nao wakiamua?? View attachment 276963

Sipendi watanzania tufanye siasa hizi za ubaguzi wa dini na kabila plus ukanda. Kwa bango hilo napata kiharusi mawazoni mwangu. Mungu tuepushe na hatari hizi. Wagombea pls jaribuni kwa kila namna kuwaelekeza wafuasi wenu namna ya kufanya siasa. Kanda ya ziwa ni Kanda kubwa kuliko zote na kabila la yule wa upande wa pili nalo kubwa kuliko yote. Sasa hamuoni kama mkianza hivyo wananchi watajikuta wakipiga kura kwa mikumbo ya kabila na Kanda? Hamuoni ni hatari na obvious ikiwa hivyo, Ccm ndo watakuwa washindi?
Rai yangu tuache udhabiki wa kijinga maana itapelekea vurugu kama za kenya na rwanda. Pls waungwana.
 

Hapo hapatakua na vurugu ila siasa ndiyo zimeanza na tayari CCM watatumia hiyo kwa mlango wa nyuma ukiacha ile ya kuvua magamba, nasikitika kwamba Kampeni zikianza CCM watakua ktk hali bora zaidi kuliko CDM na ukitazama ndani hivi vyama vingine vitanufaika zaidi kuliko CDM.
 

Utakuwa hujitendei haki.Nina uhakika uamuzi waliochukua ulikuwa mgumu na risk yake ni kubwa.Hayo yamepita,bado waliomchukua hawajakataa kwamba LOWASSA NI MCHAFU,na wanakiri LOWASSA si MSAFI...

Lakini kumbuka kwa sasa watanzania wamechoka huko hawakumbuki tena,wanachohitaji ni CCM kutoka njia gani tutatumia basi,tunahitaji wabunge nafasi nyingi ili tuwe na turufu bungeni.Kosa limefanyika tutafute way forward,WABUNGE tu ndiyo tunacholilia wengine.

Lowassa kwetu siyo BIG DEAL tunaamini WABUNGE wawe wengi.....
 
Huyu mrema nae alikuwa akila hela na wahindi. Akikusingizia kesi ya uwongo then anakupa siku saba umuone moshi au umuone ahmed bora ndie alikua mshika fedha zake..walinyanganya sana watu, asijifanye watu wamesahau alivotumia madaraka yake vibaya kujitajirisha
 

kweli aisee!! Wabunge ikiwa 50/50 kutakuwa hakuna kupitisha maamuzi ya kipuuzi.
 


Hii vipi?​
 
CCM kina mwendelezo ule ule wa ufisadi. Dawa ni kukibwaga na kusimika chama kingine. Nao wakileta ujinga tuwabwage. Sio kushindilia kapu moja tu.
 
Watu inabidi walisome kwa upya hili bandiko ili wajue kwa makini ni nini kilikuwemo humu kwenye Orodha ya Mafisadi. Lowassa hakuwemo ila Kikwete yumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…