hah hah hah hah Mkuu great thinker wanayumbaaaNimeisoma tangu mwanzo hii mada naona jinsi wanaJF walivyo wanafiki.
Wewe jamaa ni linafiki sanaList hiyo haitakamilika kama majina ya Mkapa, Yona na Sumaye hayatakuwemo.
Wewe jamaa ni linafiki sana
Kwanza SUMAYE yuko wapi sasa hivi linafiki wewe? Hovyooooooooooo CCM itaongoza 50 ijayo bila shida maana upinzani ni majitu ma...jy..ngka na manafiki tupuKwa akili yako fupi. Hebu onyesha unafiki wangu. Usiandike kitu ambacho huwezi kutoa ushahidi.
Kwanza SUMAYE yuko wapi sasa hivi linafiki wewe? Hovyooooooooooo CCM itaongoza 50 ijayo bila shida maana upinzani ni majitu ma...jy..ngka na manafiki tupu
Kama mnajua mlifanya makosa why mlisema mmeibiwa kura? HovyooòoAcha upumbavu wewe! Umeshawahi kuona hata post yangu moja humu nawafagilia Sumaye na Lowassa!?
Kwangu mimi hawa wote ni mafisadi na ilikuwa makosa makubwa sana kuwakaribisha CHADEMA. Kama kuna siku wataamua kurudi kwenye chama chenu cha wahuni, majangili na mafisadi nitakuwa wa kwanza kushangilia na baadhi wamesharudi kwa wahuni wenzao.
bora umerudi benWatakua wamefanya jambo la maana if really we need reforms lazima tuanzie huko mafisadi wote warudishe hela ya serikali na wale ambao kwa macho ya kawaida hawaonekani wakatwe mikono
Mkuu binafsi naona siyo vizuri kumsema vibaya huyo kijana wawatu Nape. Hivi kwa serikali hii unaweza ukaenda kinyume na Mkuu wa nchi? ulitaka afanyaje? katika level ya uajiri wa private company tu wewe unaweza kwenda kinyume na management? hata kama unawapenda wafanyakazi, lazima umsikilize MD/CEO wako na ufanye vile anavyotaka hatakama moyo wako unakuuma. Kama unaona wafanyakazi wanaonewa find your own way to assist them lakin kwenda kinyume na msimamo au itikadi ya company yako, taasis yako, chama chako ama BOSS wako hilo haliwezekani.Inahitaji uwe na moyo wa mwenda wazimu. Na pia uwe umekubali kutolewa sadaka kama NapeNadhani alikuwa akiewa order na mkulu, maana jamaa ukimsikiliza kwenye clip hapo juu, nadhani anaonekana ni rafiki wa vyombo vya habari na uhuru wa maoni...ila maybe Tundu Lissu anamjua zaidi
Wameifutaaaaaa??Hii mada hakuna mwandishi anayeweza kuibua mjadala huu huko kwenye magazeti ...HAYUPO ....mambo yaliyojadiliwa humu yalipaswa kuendelea kujadiliwa hadi tupate mwafaka ....Chadema vinara wa issue hii wameshaifuta kwenye tovuti yao ....UNAFIKI wa kutisha ....shame on you ...
Lissu ni debe tupu ,kila siku anatega asikie nini kutoka serikalini halafu yeye ndie atolee ufafanuzi na kupinga,najiuliza mbona ya Chadema hayotolei ufafanuzi au kuyaelezea,huyu ni sawa na kijana mwenye wivu ambaye alikuwa akimtaka msichana mrembo lakini akawa kila siku anapiga porojo kuja kushituka mrembo kachukuliwa na wengi ,halafu ndio unasikia ah yule msichana gani bana wala si mrembo na maneno kiroba.Lissu ni mpenda kiki,badala ya kuwatumikia waliompeleka mjengoni yeye anamtumikia Mbowe na Lowassa pamoja na ACCACIA,dogo kajisahau alikotoka na hajui anakoenda.Lissu atahangaika sana ,yeye ni nani katika nchii hii,huyu ni mtu muongo,mnafiki,tunakumbuka alipomtukana baba wa Taifa bungeni si bure ana laana,mwacheni kumjadili Lissu ni kupoteza wakati,unamjadili mwenda wazimu ?wa nini.
Huyu mwanasheria mkuu wa CHADEMA eti anadai kuwa anapinga mfumo uliomweka rais Magufuli madarakani.
Cha ajabu ni kwamba hicho chama chake kimeshiriki chaguzi zote za vyama vingi tokea 1995 na kama sikosei miaka yote ya uchaguzi mkuu walikuwa na mgombea urais.
Sasa eti leo anapinga mfumo uliomweka madarakani rais Magufuli. Kwa msingi huo pia alipinga urais wa Mkapa na Kikwete pia.
Kama anapinga huo mfumo uliopo kwa nini alimpigia kampeni Dkt. Slaa 2010 alipogombea urais?
Kama anapinga mfumo uliopo kwa nini yeye na wenzake walibadili gia angani na kumchukua Lowassa aliyetemwa na CCM kuwa ndo mgombea wao?
Kama Lowassa angeshinda hiyo 2015 sidhani kama angeupinga huo urais wake. Si ajabu angeteuliwa kushika nyadhifa mojawapo angekubali haraka haraka kwa bashasha na hamu ya mtoto aliyepewa jojo.
Eti anapinga mfumo uliomweka Magufuli madarakani....kwani yeye ni mfumo gani uliomweka huko bungeni?
Si kashiriki chaguzi ambazo zilifanyika chini ya katiba hii hii inayotumika sasa! Tume ya uchaguzi iliyomtangaza Magufuli kuwa ndo mshindi ndo hiyo hiyo iliyomtangaza yeye Lissu kuwa mshindi wa hicho kiti chake.
Kwa hiyo ina maana pia anaupinga mfumo uliompeleka yeye bungeni, siyo?
Siku zote hawa watu nimekuwa nikiwaambia kama wakitaka wawe na mamlaka ya kimaadili dhidi ya mfumo wa uchaguzi tulionao basi waache kushiriki chaguzi zinazofanyika chini ya tume ya uchaguzi iliyopo pamoja na katiba hadi hapo zitapopatikana mpya.
Zaidi ya hapo wataishia kuonekana ni wanafiki wafamaji tu!
Oh kingine...eti [yeye Lissu] anamwambia Magufuli kwamba kama anataka Lissu atumikie nchi hii basi tubadilishe katiba.
Kwani sasa hivi yeye Lissu kuwa mbunge hatumikii nchi hii kwa katiba hii hii anayoitaka ibadilishwe?
This guy is so overrated when truth of the matter is he is just a fair to middling lawyer!
hili la kumshtaki Rais aliyetoka madarakani linawezekana?Kwenye GMT -5 Majina siyo yanazungumzwa zungumzwa... orodha itakuwa hewani.. pia tutaungana na Bw. Tundu Lissu ambaye atazungumzia mambo ya kisheria hususan suala la kuweza kumshtaki Rais aliyetoka madarakani kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani ambayo ni ya kiuhalifu....