List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Kwa akili yako fupi. Hebu onyesha unafiki wangu. Usiandike kitu ambacho huwezi kutoa ushahidi.
Kwanza SUMAYE yuko wapi sasa hivi linafiki wewe? Hovyooooooooooo CCM itaongoza 50 ijayo bila shida maana upinzani ni majitu ma...jy..ngka na manafiki tupu
 
Acha upumbavu wewe! Umeshawahi kuona hata post yangu moja humu nawafagilia Sumaye na Lowassa!?
Kwangu mimi hawa wote ni mafisadi na ilikuwa makosa makubwa sana kuwakaribisha CHADEMA. Kama kuna siku wataamua kurudi kwenye chama chenu cha wahuni, majangili na mafisadi nitakuwa wa kwanza kushangilia na baadhi wamesharudi kwa wahuni wenzao.

Kwanza SUMAYE yuko wapi sasa hivi linafiki wewe? Hovyooooooooooo CCM itaongoza 50 ijayo bila shida maana upinzani ni majitu ma...jy..ngka na manafiki tupu
 
Acha upumbavu wewe! Umeshawahi kuona hata post yangu moja humu nawafagilia Sumaye na Lowassa!?
Kwangu mimi hawa wote ni mafisadi na ilikuwa makosa makubwa sana kuwakaribisha CHADEMA. Kama kuna siku wataamua kurudi kwenye chama chenu cha wahuni, majangili na mafisadi nitakuwa wa kwanza kushangilia na baadhi wamesharudi kwa wahuni wenzao.
Kama mnajua mlifanya makosa why mlisema mmeibiwa kura? Hovyooòo
 
Watakua wamefanya jambo la maana if really we need reforms lazima tuanzie huko mafisadi wote warudishe hela ya serikali na wale ambao kwa macho ya kawaida hawaonekani wakatwe mikono
bora umerudi ben
 
Hii mada hakuna mwandishi anayeweza kuibua mjadala huu huko kwenye magazeti ...HAYUPO ....mambo yaliyojadiliwa humu yalipaswa kuendelea kujadiliwa hadi tupate mwafaka ....Chadema vinara wa issue hii wameshaifuta kwenye tovuti yao ....UNAFIKI wa kutisha ....shame on you ...
 
Nadhani alikuwa akiewa order na mkulu, maana jamaa ukimsikiliza kwenye clip hapo juu, nadhani anaonekana ni rafiki wa vyombo vya habari na uhuru wa maoni...ila maybe Tundu Lissu anamjua zaidi
Mkuu binafsi naona siyo vizuri kumsema vibaya huyo kijana wawatu Nape. Hivi kwa serikali hii unaweza ukaenda kinyume na Mkuu wa nchi? ulitaka afanyaje? katika level ya uajiri wa private company tu wewe unaweza kwenda kinyume na management? hata kama unawapenda wafanyakazi, lazima umsikilize MD/CEO wako na ufanye vile anavyotaka hatakama moyo wako unakuuma. Kama unaona wafanyakazi wanaonewa find your own way to assist them lakin kwenda kinyume na msimamo au itikadi ya company yako, taasis yako, chama chako ama BOSS wako hilo haliwezekani.Inahitaji uwe na moyo wa mwenda wazimu. Na pia uwe umekubali kutolewa sadaka kama Nape

Naamini hilo unalifahamu tusidanganyane wewe huko officn kwako hauna kiongozi? Mbona hamumsemi Prof.Dr.Chako wa NECTA na Mbonde wake? mtu anatuhumiwa vyeti feki ni suala la baraza la mitihani kumaliza utata, vyombo vya dola, wizara ya sheria na katiba inasemaje, Tamisemi wanasemaje. Wote kimya wanaogopa kusema chochote kwa huyo anayetuhumiwa. Uwaziri, ukurugenz na ukubwa ni mzuri sana. Hakuna anayekubali kupoteza kufaidi hela za watanzania. wahusika wote wapo kimya. Unadhani hao wahusika hawajui? Siku Bwana yule atakapotolewa hiyo nafasi na kupewa ubalozi utawaona wengi humu watakuja na tahariri zao.

UNAFIKIRI MHE.NAPE HAKUJUA YATAKAYO MPATA?:
Ni kidume mmoja tu aliyesimama akafanya maamuzi magumu huku akijua kuwa itamgharimu. Nakumbuka alisema jambo hili najua litaweza kugharimu kazi yangu na "itanipasa kulipa gharama," lakini penye ukweli lazima wananchi wajue. Kiukweli huyu mtu "ameinajisi tasnia ya habari"

MHE.NAPE WAZIRI WA KWANZA TANZANIA KUUNDA TUME NA KUTOA MAJIBU NDANI YA MASAA 24HRS:
Kwa ufahamu wako ni waziri gani wa habari au waziri mkuu, waziri katika wizara yeyote ama Rais yeyote aliyewahi kuunda tume kuchunguza ukiukwaji wa maadili na uvunjwaji wa sheria na katiba uliowahi kufanywa na kiongozi yeyote serikalini ndani ya masaa 24? Japo masaa yaliongezeka kidogo kwa kile walichokiita kusumbuliwa na watu Fulani Fulani hawakuwataja majina.waliokuwa wakiwapigia simu kuachana na hiyohiyo report na pia vizuizi kwa Muhusika kugoma comply kutokana na maelezo ya Mhe.Nape Mwenyewe na "Dr.Balile " Mwenyekiti wa tume.

Tuache kumsema Mhe. Nape vibaya amemaliza kazi yake kishujaa ameondolewa akitaka kuwajuza watanzania kilichitokea .Amekatizwa aliyeingia amesema atakwenda kumhoji mtuhumiwa wa upande wa pili kwakuwa maelezo mengi ni ya mlalamikaji. Kituko ni pale Waziri alipoingia na kusema Mhe.Nape hakufuata "Principless of Natural Justice" japo yeye alizunguka nchi nzima kutafuta ushahidi wa R....MOND. alitumia mpaka magazeti ya udaku. Hata marekani alifika na akala nights zetu watanzania lakini mtu anayetuhumiwa alimuacha pale magogoni hatua 20 na office za Bunge karibu na Bunge Pr school na hazina hakumhoji hata kidogo.

That means report ya R..mond mpaka leo ("..todate..")haina melezo ya mtuhumiwa, Kiushahidi mahakamani haikubaliki. Ni sawa na kumuweka mahubusu ndani mtuhumiwa bila kuchukua maelezo yake akifa humo au ikibainika ni uonevu, hana hatia. Inakuwa nikama mlifanya deal siyo official kesi. inakula kwa wahusika. Ukiweka clip ya PM aliyekuwa mlalamikiwa aliposimama Bungeni kwa mara ya mwisho na kujiuzulu uwaziri mkuu,. amemtuhumu huyo Waziri Mpya wa habari akiwa mwenyekiti wa hiyo tume iliyoundwa waziwazi kuwa hakufuata "Principles of Natural Justice" leo naye anagats za kumzodoa mwenzake eti hakufuata Principles of Natural Justice tena yeye ana PhD ya law, and he was a lecturer at UDSM. Hakupaswa kujifanya amekosea uhakika....

Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu Mbariki na mpe hekima zaidi Mkuu wetu wa nchi. mpe ulinzi wa kiroho na kimwili
Mungu wabariki mawaziri wetu wafanye kazi kwa mujibu wa katiba,sheria na taratibu za nchi na sio kwa woga
Mungu wabariki wabunge wetu wa Bunge la JMTZ wote wape afya njema tunahitaji kuwaona wote Bungeni 01.April.2017
Mungu wabariki wakuu wote wamikoa wanaofanya kazi sawasawa na mapenz yako na wala si sawa na mapenz yao binasf
Mungu wabariki viongozi wetu wa dini zote wape ulinzi wa kiroho na kimwli wape ujasiri wa kukemea maovu bila woga

AMEN.........
 
Hii mada hakuna mwandishi anayeweza kuibua mjadala huu huko kwenye magazeti ...HAYUPO ....mambo yaliyojadiliwa humu yalipaswa kuendelea kujadiliwa hadi tupate mwafaka ....Chadema vinara wa issue hii wameshaifuta kwenye tovuti yao ....UNAFIKI wa kutisha ....shame on you ...
Wameifutaaaaaa??
 


Huyu mwanasheria mkuu wa CHADEMA eti anadai kuwa anapinga mfumo uliomweka rais Magufuli madarakani.

Cha ajabu ni kwamba hicho chama chake kimeshiriki chaguzi zote za vyama vingi tokea 1995 na kama sikosei miaka yote ya uchaguzi mkuu walikuwa na mgombea urais.

Sasa eti leo anapinga mfumo uliomweka madarakani rais Magufuli. Kwa msingi huo pia alipinga urais wa Mkapa na Kikwete pia.

Kama anapinga huo mfumo uliopo kwa nini alimpigia kampeni Dkt. Slaa 2010 alipogombea urais?

Kama anapinga mfumo uliopo kwa nini yeye na wenzake walibadili gia angani na kumchukua Lowassa aliyetemwa na CCM kuwa ndo mgombea wao?

Kama Lowassa angeshinda hiyo 2015 sidhani kama angeupinga huo urais wake. Si ajabu angeteuliwa kushika nyadhifa mojawapo angekubali haraka haraka kwa bashasha na hamu ya mtoto aliyepewa jojo.

Eti anapinga mfumo uliomweka Magufuli madarakani....kwani yeye ni mfumo gani uliomweka huko bungeni?

Si kashiriki chaguzi ambazo zilifanyika chini ya katiba hii hii inayotumika sasa! Tume ya uchaguzi iliyomtangaza Magufuli kuwa ndo mshindi ndo hiyo hiyo iliyomtangaza yeye Lissu kuwa mshindi wa hicho kiti chake.

Kwa hiyo ina maana pia anaupinga mfumo uliompeleka yeye bungeni, siyo?

Siku zote hawa watu nimekuwa nikiwaambia kama wakitaka wawe na mamlaka ya kimaadili dhidi ya mfumo wa uchaguzi tulionao basi waache kushiriki chaguzi zinazofanyika chini ya tume ya uchaguzi iliyopo pamoja na katiba hadi hapo zitapopatikana mpya.

Zaidi ya hapo wataishia kuonekana ni wanafiki wafamaji tu!

Oh kingine...eti [yeye Lissu] anamwambia Magufuli kwamba kama anataka Lissu atumikie nchi hii basi tubadilishe katiba.

Kwani sasa hivi yeye Lissu kuwa mbunge hatumikii nchi hii kwa katiba hii hii anayoitaka ibadilishwe?

This guy is so overrated when truth of the matter is he is just a fair to middling lawyer!

Lissu ni debe tupu ,kila siku anatega asikie nini kutoka serikalini halafu yeye ndie atolee ufafanuzi na kupinga,najiuliza mbona ya Chadema hayotolei ufafanuzi au kuyaelezea,huyu ni sawa na kijana mwenye wivu ambaye alikuwa akimtaka msichana mrembo lakini akawa kila siku anapiga porojo kuja kushituka mrembo kachukuliwa na wengi ,halafu ndio unasikia ah yule msichana gani bana wala si mrembo na maneno kiroba.Lissu ni mpenda kiki,badala ya kuwatumikia waliompeleka mjengoni yeye anamtumikia Mbowe na Lowassa pamoja na ACCACIA,dogo kajisahau alikotoka na hajui anakoenda.Lissu atahangaika sana ,yeye ni nani katika nchii hii,huyu ni mtu muongo,mnafiki,tunakumbuka alipomtukana baba wa Taifa bungeni si bure ana laana,mwacheni kumjadili Lissu ni kupoteza wakati,unamjadili mwenda wazimu ?wa nini.
 
Kwenye GMT -5 Majina siyo yanazungumzwa zungumzwa... orodha itakuwa hewani.. pia tutaungana na Bw. Tundu Lissu ambaye atazungumzia mambo ya kisheria hususan suala la kuweza kumshtaki Rais aliyetoka madarakani kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani ambayo ni ya kiuhalifu....
hili la kumshtaki Rais aliyetoka madarakani linawezekana?
 
SIASA HAZIWASAIDII
MTU ASIYEKUWA MZALENDO WA HII NCHI NI BORA ATAFUTE URAIA NCHI NYINGINE.
WAZUNGU WAMETUIBIA WAMEWAUA MABABU ZETU WAHUNZI NA WAFALME WATAWALA ZETU ZA KIASIRI
WALIWABAKA SANA WAAFRIKA NA KUWAHASI WANAUME WAAFRIKA
WAAFRIKA TULINYANYASWA SANA.
LEO HII MTU ANASIMAMA HADHARANI KUWA TETE WAZUNGU ETI KWAMBA ANAJUA SHERIA.
HIZO SHERIA NI ZA KIBINADAMU
MUNGU ALIYETUUMBA ANASHERIA ZAKE.
TUDUMU KATIKA KULINDA NCHI YETU KWA SHERIA ZA MUNGU WETU.
HAKUNA MTU MZALENDO KAMA RAIS WETU MAGUFURI
HAO WANAOMFANYA ASHINDWE KUFIKIA MALENGO YAKE ETI WANAJUA SHERIA TUNAWAOMBA WAHAMIE BURUNDI.
LEO WANASEMA HILI KESHO WANAJIPINGA WENYEWE
KUNA WAKATI WALIMUITA LOWASA FISADI
BAADAYE WAKAANZA KUMUABUDU
MTU YEYOTE ANAYEMJUA MUNGU
HUWA HAOGOPI KIFO
MASWALA YA KUWAKIMBIA WATU WAKO NA KWENDA KUTIBIWA NJE NI DALILI YA KUTOKUWA NA IMANI NA WATU WALIOKUCHAGUA.
WATU HAOHAO WAMEKUPIGIA KURA LEO HUTAKI WAKUTIBU UNAKWENDA KUTIBIWA KWA WAGENI.
HAO WAGENI WALIOMBA PIA MADAKITARI KUTOKA TANZANIA WAKATIBU HUKO KENYA
BADO WANASIASA MKAWASHAWISHI WATANZANIA WASIAPPLY.
SIASA ZA UBAGUZI WA KIMAADILI NI SIASA ZA MWENDA WAZIMU.
I DO NOT CARE KAMA UTACHUKIA AU UTAFURAHI.

UKWELI UNABAKI PALEPALE

MWANZONI NILIKUWA NAMSIKITIKIA SANA
MH. TUNDU LISSU

ILA TANGU WAANZE KUTOA VIMANENO KUMHUSISHA RAIS WETU.
NAWACHUKIA SANA!!

OUR MAGUFURI HAWEZI KUFANYA MAMBO HAYO.

MH. TUNDU LISSU ANAPASWA KUJUA KUWA KAMA MWANASHERIA NA MWANASIASA ANA MAADUI WENGI.
NA WALA SIO SERIKALI

AJARIBU KUJITAFAKARI JE YEYE ANAPOKUWA ANAWAHUKUMU WENGINE ETI ANAFUATA SHERIA JE AMEKUWA YEYE MWENYEWE MKAMILIFU KULIKO MUNGU WETU WA MBINGUNI.

SIO LAZIMA KILA KINACHOONEKANA KISEMWE.

VITU VINGINW HATA KAMA NI VYA KWELI KIVIPI LAZIMA VIACHWE AU VISEMWE KWA UONGO ILI KULETA MATUNDA MAZURI.

HATA KATIKA BIBLIA TUNAMSIKIA IBRAHIMU ANAMSANGANYA MFALME

DAUDI ANAMDANYA YULE ASKARI

NA HUU UONGO

UKITUMIKA VIZURI DAIMA UNAMANUFAA KULIKO UKWELI UNAO ANGAMIZA.

MAMBO YA KUKURUPUKA
NCHI HII JAMANI MATANGAZO TUZIACHIE REDIO SIO WATU
WENGINE WAPO KAMA DOMO KAYA
WANAONGEA OVYO OVYO TU UTADHANI WAMEBUGIA KADAWA YA KULEVYA

NCHI HII INA MIIKO YAKE

NA SIRI ZA NCHI LAZIMA ZITUNZWE.
MUNGU IBARIKI AFRIKA
MUNGU IBARIKI TANZANIA

MUNGU MPE AFYA NJEMA TUNDU LISSU

MUNGU UMPONYE TUNDU LISSU

MUNGU UMPE AKILI TUNDU LISSU

MUNGU UMJENGEE MOYO WA MSAMAHA TUNDU LISSU

MUNGU UMPE UNYENYEKEVU TUNDU LISSU

MUNGU UMJALIE HEKIMA TUNDU LISSU

MUNGU UMFUNDISHE TUNDU LISSU KUWA
HATA MWANAO YESU ALIKUFA
LAKINI HAKULALAMIKA
BALI ALIWASAMEHE WOTE
ALIPOFUFUKA ALIWAPONYA WOTE.

MUNGU UNISAMAMIE NAMI NIKALIJENGE TAIFA LAKO.
AMINA
 
Back
Top Bottom