List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

NI KIDOGO CHEKUNDU,Ndipo Gwiji La Siasa Dr W. P. Slaa Alipotaja Orodha Ya Majina Ya Mafisadi Kumi!! Kati Ya Hao Kumi Ni Mmoja Tu Aliyedai Yeye Hatokwenda Mahakamani Kwa Kuwa Hata Akienda Mahakamani Kudai Fidia Dr Slaa Hangekuwa Na Hizo Pesa! Huyu Si Mwingine Alikuwa Ni Bw. Nimrod Mkono.Waliobaki Wote Tisa Kwa Nyakati Tofauti Waliahidi Kumfungulia Kesi Ya Madai Dhidi Ya Dr Slaa Kwa Kuwadharirisha, SASA,NI MIAKA MINGI IMEPITA,NAULIZA MOSI, JE KESI HIZO NI KWELI ZILIFUNGULIWA?PILI, KAMA ZILIFUNGULIWA JE ZILIISHAJE?TATU,TUNAOMBA WAANDISHI WA HABARI WAWATAFUTE WAHUSIKA WAWAHOJI KWANINI HADI LEO HAWAKWENDA MAHAKAMANI KAMA WALIVYODAI MWANZO?

Hivi ilikuwa ni Kidongo Chekundu au ni Mwembe Yanga - TMK¿
 
Mhh..ingawa alichosema ni kweli, lakini angeshtakiwa na wote hao nadhani babu angekufa kwa presha!
 
Hebu yataje tena tuone kama yatatishia mahakama na kwetu. Mmfyuuuuuuu zao.

Wanatishia kuwajambia watu wakati wana ugonjwa wa kuhara, ona sasa wameyajaza kwenye chupi zao.
 
Waliyosema ulikuwa ni upepo. Umeshapita na sasa tusubiri Tamko lingine maana mahakamani hawawezi kwenda.
 
Mi navyojuwa maovu ya CCM haimaanishi wana chadema ni malaika,
tunatakiwa kujuwa CHADEMA imetengenezwa na binadam pia.
 
I'm confident of every one knowledge on Dr. Slaa's Mwembeyanga list of shame. As we have been moving on, the list is found expiring calling a need for its rectification. Yes, it needs rectification as some other names from both govt officials and political parties officials have been found legible to be included in the list.

With good instance from CHADEMA, we have the recently still prevailing scandal of party finance extravagances and maladministration by Freeman Mbowe and Dr. Slaa, leaving behind anonymous lamentations of dissatisfactions among members of the party countrywide.

That kind of situation in chadema has reflected the typical example of hypocrit politicians whose words always do not match their actions. With these grounds therefore, i call upon Dr. Slaa to revise his list of shame which was publicly announced at Mwembeyanga grounds. This time, we want the list to include him and his chairman to make it fair.

I hope Dr. Slaa works on my proposal for the sake of good destination of our people and the nation as a whole.
Why should we believe what you are telling us?
 
Chadema is a scientific political part, we can not work on roumers. You have to tell us was the list reflected the truth? If so and you feel the same saga is found in Cdm you have a right to announce publicly as Dr Slaa did. Acha uvivu wa kufikiria kijana
 
Poor propaganda .No darkness will ever shine amidst light..CCM and your loyalists treat yourself psychologically because the moment of falling is at hand.The crown of victory will be taken away from traitors of natural resources of this nation and handed to real patriots....Chant down CCM.
 
I'm confident of every one knowledge on Dr. Slaa's Mwembeyanga list of shame. As we have been moving on, the list is found expiring calling a need for its rectification. Yes, it needs rectification as some other names from both govt officials and political parties officials have been found legible to be included in the list.

With good instance from CHADEMA, we have the recently still prevailing scandal of party finance extravagances and maladministration by Freeman Mbowe and Dr. Slaa, leaving behind anonymous lamentations of dissatisfactions among members of the party countrywide.

That kind of situation in chadema has reflected the typical example of hypocrit politicians whose words always do not match their actions. With these grounds therefore, i call upon Dr. Slaa to revise his list of shame which was publicly announced at Mwembeyanga grounds. This time, we want the list to include him and his chairman to make it fair.

I hope Dr. Slaa works on my proposal for the sake of good destination of our people and the nation as a whole.
Kama we sio Mtanzania hii ya nini??
 
Dog of the empire barking...

enhanced-buzz-wide-24730-1362532661-10.jpg
 
Machiavellian desperation....!
 
you want the list to include him and his chairman Hon Mbowe ! kwahiyo huu ni ule muendelezo wenu wa mkakakati wa mabadiliko ulioshindwa kabla hamjaanza ? very poor ! haya sasa chadema inasonga wewe endelea na majungu .
 
Walisema watamburuza mahakamani baada ya kusoma majina ya mafisadi papa mwembeyanga 2007,lakini hadi leo kimya.

Kuna mjamaa(anajiita hivyo),amekuja na azimio feki anajaribu kuundaa umma wa watz kupokea list of shame nyingne pale mwembeyanga,swali la kujiuliza ana ubavu huo?

Ni Dr.slaa pekee ndio anaweza issue hizo. Alitaja mafisadi papa akiwemo na huyu nanii,lakini hakuna hata chombo cha dola kilichomtia hatiani.

Hatutaki zungushazungusha,kama vipi amwage mboga ili aingie katika list ya heros in Tanzania.

Usiwe mkakati wa kuuza sura kwa umma ili uamini kuwa ni mpinzani wa kweli. Tunajua na tunaendelea kuamini kuwa wale... Uliwaita wasaka mviringo wa unga uliopikwa. Sasa sijui ndo kurudisha heshima iliyopotea au miyeyusho tu? Maana huaminiki bro...ulisema hutaki U-MP sasa naona umevuta fomu ya u-mp kimya kimya,ulisema utagombea upresidaa,mara unarudi kudiscontinue madenti kuhusu masuala ya uchumi wa kile kilichomua yule mwandishi wa mwana..ha..li..si online.

Kama vipi,uingie mzima mzima. Lakini the HERO atabaki kuwa Dr. WP Slaa, No mor no less,habari ndio hiyo.

Hatuishi kwa uongo ndio maana huaminiki. Na kwa kinywa chako uliwahi kusema,mwanasiasa sio mtu wa kuamini,kauli hii ianzie kwako...yaani huaminiki hata tungekupa mtaji wa kuuza mawese usingefika popote.
 
Labda kama definition ya shujaa imebadilika...

Mpaka sasa shujaa ni Dr.Slaa na hakuna hata anayefuata kwa karibu wengine wanaigiza tu
 
Back
Top Bottom