fidelis zul zorander
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 685
- 176
kumbe wa UDOM mko wengi eeh..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A'm IN GUYS
pongezi ipycalypse udom kaka kozi gani?wadau vp mbona kimya?
Mbona nahisi kama naenda sua, mmh nitakuwa pamoja na ze duduz na lordville,dah
Prezdaa jomba, unakumbuka jana nilivyo post link na majina ya walokua admitted Tumaini university Iringa masela waakanza kuni dis nawe ulikuawepo ila midamida ukaja elewa anyway, ishu ni kwamba selection zisha pelekwa vyuoni sema t.c.u wana negotiate na bodi ya mikopo ili watoe list pamoja!!!!!!!!!!!!!!! nawasilishaHii kitu ni truuu
Mia mia prezdaa baba ake riz one!!!Usiwaze kaka nakumbuka nilikuwa nachet za mwanzo tuu ambazo ni cheti na dip mkuu xo usiwaze kiviiilee coz one lov sana
Hongera mkuu tutakua wote pande zile.
Hongera mkuu Me kitu MINING ENGINEERING