dah poa mkali tupo pamoja
mhhhhhh kwa hiyo nimebak mwenye tu!!! au kuna mwingine ambaye hajapata??? mhhh...ila hongera mkuu!!!
Mpaka sasa tuko wa3 me NingaR na wewe kuna mwingine ila nimemsahau.
poa tu nitakamua iyo iyo hakuna kuremba, wa Udom tuje tutafutane si wengine wa visiwani wageni huko?
mie na masister zangu 2mechaguliwa udom bt kwa facult TOFAUTI KABISA NA TULIVYOOMBA! hebu nielewesheni hapo, kimetokea nin TCU na UDOM?
YAWEZEKANA HAKUNA UKWELI KATIKA MATOKEO HAYA?
mie na masister zangu 2mechaguliwa udom bt kwa facult TOFAUTI KABISA NA TULIVYOOMBA! hebu nielewesheni hapo, kimetokea nin TCU na UDOM?
YAWEZEKANA HAKUNA UKWELI KATIKA MATOKEO HAYA?
Dah nimeisahau ila ya biashara ngoja atakuja kuweka mambo sawa.
Kijana Unaenda kupiga petroleum??
ndio mkuu petroleum
Mpaka sasa tuko wa3 me NingaR na wewe kuna mwingine ila nimemsahau.
Ki VIPI Mkuu?? au umeshamaliza ??
dah ahsante mkuu but hii kozi sio chaguo langu sijui kama watakubali nikienda kuibadilisha na kuchukua bachelor of education in policy, planning and management au bachelor of education with ICT