Mbona umesahau academic publications? Naikubali UDOM in long run but not now. Maana hata idadi ya wahadhiri wenye ubora bado hairidhishi na ndio maana wanaomaliza degree ya Accounts hawapati exemption kutoka NBAA kwa ajili ya CPA kama vyuo vingine.
Kwa sasa UDOM ipo kwenye infant stage, baada ya miaka michache na viongozi wakiacha siasa katika mambo ya academics, hiko chuo kitakuwa juu sana kaika huu ukanda wa kusini mwa Africa
Jamani St. Joseph cha ngapi? pleeeeeeese tell me.
hurbet kiaruki ni zaidi ya muhimbili je does it make sense?
<br />
<br />
sielewi mantik ya nyie kubishana eti udom ni bora kuliko udsm,hahaha,udom kwa majengo 4sure wapo juu,wingi wawa nafunz4sure wapo juu,wanafunz wamekua wengi pale just bcoz wengi walipata div 2 mpk 4 kwn uongo?then udsm staff yao inatisha mpk international student wanakubali mzik wao vijana wanapikika,so udom is not best univ in tz bora hata ruco jaman
Mmh tumain je?
Aaaah mie sikubaliani , chuo kinachotakiwa kukaa juu kabisa kwa sasa ni sua!!!!!!, pia kuna vyuo vya technical ambavyo macho ya wengi wa wafuatiliaji hawaoni mfano dit wapo juu sana, mnaangalia nini, udom wenyewe wanatambua mziki wa chuo cha mipango dodoma!!!!!
kaka Sua kipo poa na DIT nacho kipo juu,hizi rank zisiwababaishe we pata profession yako ikusaidie wewe na mchango wako ulisaidie taifa,ilo ndio lengo la wasomi.
Styl za waendao vyuon,maskini na washamba-SUA,matajir na wenye akil-MZUMBE,wasio na akil na matoz/macstaduu-IFM,wahuni na wasiojiweza kiakil-CBE,upeo mdogo na watoto wa mama-2MAIN,waliokosa vyuo kabisa-RUCO,waliokosa nafac UD Na wanaipenda-UDOM,wasiojali future zao-SAUT,USTAW,MWL NYERERE,MUCOBS,CBE DOM,wenye uwezo ila walifel 4m 6-IAA,Wasiofaham umuhim wa elimu-MIPANGO,ZANZBAR,ST.JON,MORO MUSLIM,wa2 wa sifa zote hapo juu wa kila aina na kila cfa-wa Mzumbe & UD wajanja.