List of top universities & colleges in Tanzania 2011

List of top universities & colleges in Tanzania 2011

Mbona umesahau academic publications? Naikubali UDOM in long run but not now. Maana hata idadi ya wahadhiri wenye ubora bado hairidhishi na ndio maana wanaomaliza degree ya Accounts hawapati exemption kutoka NBAA kwa ajili ya CPA kama vyuo vingine.
Kwa sasa UDOM ipo kwenye infant stage, baada ya miaka michache na viongozi wakiacha siasa katika mambo ya academics, hiko chuo kitakuwa juu sana kaika huu ukanda wa kusini mwa Africa

umeiandika hii coment kwa utulivu na logic ya hali ya juu. You might be a great thinker among the great thinkers hongera.
 
Vigezo wanavyotumia wenzetu vichache nijuavyo;
1.0 Toka graduation date average time ambapo wanachuo husika wanapata ajira sokoni,
2.0 Wakia makazini mishahara yao average inakuwa kiasi gani;
3.0 Wakiwa kazini baada ya muda gani wanapata managerial position i.e CEO Directors etc;
4.0 kwenye reserch mbalimbali wanashiriki kwa kiwango gani kuibua new ideas;
5.0 Rations ya proffesors dr to students;
6.0 Miundombinu mbalaimbali kama technohama.
Kama wewe mwanafunzi fanya reserch sokoni si chuoni angalia top executives are from which universities,
kwa sasa Goverments ina Mzumbe wengi na udsm na IFM . Je miaka mitano iliyopita mpaka sasa mna watu wangapi ni TOP executives toka chuo chako ndio tubwabwaje .
 
Kama sikosei wengi wenu ni 1st year nyie endeleeni kupigizana kelele kuhusu hiki cha kwanza mara hiki cha mwisho ila cha msingi ni wewe umetoka na nini chuoni na kingine chuo ni course kama hupo chuo chenye sifa angalia unasoma nini hapo angalia usije ukala bench kama kaka zenu mtaani.......
 
Jamani St. Joseph cha ngapi? pleeeeeeese tell me.

kaka wewe soma maana ukimchunguza bata hauta mla kabisa.....na hiyo st joseph kibongo bongo hakieleweki kabisa maana mpaka leo hakina mtandao wa chuo na pale wako kibiashara zaidi ila hawana mipango mizuri ya kuelimisha wanafunzi.
 
hurbet kiaruki ni zaidi ya muhimbili je does it make sense?

bwa mdogo unauliza au unajudge?....kwa jibu fupi tu; hurbet kipo juu vibaya sana na unaowaona wanaenda muhimbili ni kwa sababu hawana ela ya kulipia pale maana ada yao ni tsh 5 mn sasa heslb wanatoa sh ngapi?...
 
<br />
<br />
sielewi mantik ya nyie kubishana eti udom ni bora kuliko udsm,hahaha,udom kwa majengo 4sure wapo juu,wingi wawa nafunz4sure wapo juu,wanafunz wamekua wengi pale just bcoz wengi walipata div 2 mpk 4 kwn uongo?then udsm staff yao inatisha mpk international student wanakubali mzik wao vijana wanapikika,so udom is not best univ in tz bora hata ruco jaman

we kijana udsm wengi ni washamba kutoka killage(mbwinde) hawana ideas zingine kuhusu mabadiliko ya ajira,unaweza ukapata div 1.3 ila ukawa mjinga kuliko aliyepata div 3,best student wa hapo ud 2010 bsc in computer sc unamjua? Kacheck matokeo yake form 6 alipata div 2.
 
Mmh tumain je?

kwa uzoefu wangu wahitimu wengi ninao wafahamu wa degree ya law wanapiga mzigo kwenye taasisi mbalimbali zikiwemo haki za binadamu na baadhi ya makampuni ya mawakili binafsi.
 
Aaaah mie sikubaliani , chuo kinachotakiwa kukaa juu kabisa kwa sasa ni sua!!!!!!, pia kuna vyuo vya technical ambavyo macho ya wengi wa wafuatiliaji hawaoni mfano dit wapo juu sana, mnaangalia nini, udom wenyewe wanatambua mziki wa chuo cha mipango dodoma!!!!!
 
Aaaah mie sikubaliani , chuo kinachotakiwa kukaa juu kabisa kwa sasa ni sua!!!!!!, pia kuna vyuo vya technical ambavyo macho ya wengi wa wafuatiliaji hawaoni mfano dit wapo juu sana, mnaangalia nini, udom wenyewe wanatambua mziki wa chuo cha mipango dodoma!!!!!

kaka Sua kipo poa na DIT nacho kipo juu,hizi rank zisiwababaishe we pata profession yako ikusaidie wewe na mchango wako ulisaidie taifa,ilo ndio lengo la wasomi.
 
Afadhali basi hata vingekuwa vinazalisha wataalam wa ukweli. Lakini mpaka sasa wahitimu wote wa hivyo vyuo ni wahitimu wa kwenye makaratasi tu.
 
kaka Sua kipo poa na DIT nacho kipo juu,hizi rank zisiwababaishe we pata profession yako ikusaidie wewe na mchango wako ulisaidie taifa,ilo ndio lengo la wasomi.

Hapo umenena na nimekubali!!!! unajua nimegundua watu wanataka ligi wakati ukienda kwenye utendaji UDSM wanakimbizwa kishenzi!!!!!!!! si tupo humo kwenye local Govt tunaona?
 
List ya mwaka 2011 from 4icu ni hii

1 University of Dar es Salaam Dar es Salaam and other locations 2 The Hubert Kairuki Memorial University Dar es Salaam 3 Sokoine University of Agriculture Morogoro and other locations 4 The University of Dodoma Dodoma 5 Mzumbe University Morogoro 6 Ardhi University Dar es Salaam 7 International Medical and Technological University Dar es Salaam 8 Mount Meru University Arusha 9 St Augustine University of Tanzania Mwanza and other locations 10 St. John's University of Tanzania Dodoma 11 Muhimbili University of Health and Allied Sciences Muhimbili and other locations 12 The State University of Zanzibar Zanzibar 13 Tumaini University Dar es Salaam 14 Teofilo Kisanji University Mbeya 15 University of Arusha Arusha 16 Muslim University of Morogoro Morogoro
 
list hyo haina maana kwamba no compitent graduates othr collges!
Dit n mist wanatoa compitent graduates n kama huamini nenda kampuni nyng za uhandis utakuta watu wa vyuo hvi ndo wapo juu mist n dit!
 
Nyie bishaneni nani bora mkifika mtaani mtaona nyota kama gpa yako inasaidia
 
Dear all,

it is very disgusting when I read most of the postings into this thread. They are of very low quality. Discussants are unable to articulate their points although they are supposed to university graduates or university students. This alone shows what type of graduates we are producing in our country. They are of very very low quality, if I am to make the judgment based on the postings.

I am especially disappointed by lack of command of language that one chooses to communicate his/her ideas. Kiswahili and English are both taught in our schools, but it seems our students/graduates fail to master any of them. We still have a very long way to go.
 
Thread za ubishani kuhusu vyuo ni za kijinga,hakuna mambo mengine yenye tija kuhusu elimu ambayo mnaweza kuyaweka tukayajadili?mnabore
 
Styl za waendao vyuon,maskini na washamba-SUA,matajir na wenye akil-MZUMBE,wasio na akil na matoz/macstaduu-IFM,wahuni na wasiojiweza kiakil-CBE,upeo mdogo na watoto wa mama-2MAIN,waliokosa vyuo kabisa-RUCO,waliokosa nafac UD Na wanaipenda-UDOM,wasiojali future zao-SAUT,USTAW,MWL NYERERE,MUCOBS,CBE DOM,wenye uwezo ila walifel 4m 6-IAA,Wasiofaham umuhim wa elimu-MIPANGO,ZANZBAR,ST.JON,MORO MUSLIM,wa2 wa sifa zote hapo juu wa kila aina na kila cfa-wa Mzumbe & UD wajanja.
 
Styl za waendao vyuon,maskini na washamba-SUA,matajir na wenye akil-MZUMBE,wasio na akil na matoz/macstaduu-IFM,wahuni na wasiojiweza kiakil-CBE,upeo mdogo na watoto wa mama-2MAIN,waliokosa vyuo kabisa-RUCO,waliokosa nafac UD Na wanaipenda-UDOM,wasiojali future zao-SAUT,USTAW,MWL NYERERE,MUCOBS,CBE DOM,wenye uwezo ila walifel 4m 6-IAA,Wasiofaham umuhim wa elimu-MIPANGO,ZANZBAR,ST.JON,MORO MUSLIM,wa2 wa sifa zote hapo juu wa kila aina na kila cfa-wa Mzumbe & UD wajanja.

Tupe source
 
Back
Top Bottom