Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Mbona umesahau academic publications? Naikubali UDOM in long run but not now. Maana hata idadi ya wahadhiri wenye ubora bado hairidhishi na ndio maana wanaomaliza degree ya Accounts hawapati exemption kutoka NBAA kwa ajili ya CPA kama vyuo vingine.
Kwa sasa UDOM ipo kwenye infant stage, baada ya miaka michache na viongozi wakiacha siasa katika mambo ya academics, hiko chuo kitakuwa juu sana kaika huu ukanda wa kusini mwa Africa
umeiandika hii coment kwa utulivu na logic ya hali ya juu. You might be a great thinker among the great thinkers hongera.